Kwa kauli mbiu ya " Mfereji wa Suez ni Ateri ya Maisha" Mwenyekiti wa mamlaka ya Mfereji wa Suez apokea ujumbe wa Udhamini wa Nasser 

Kwa Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El_sisi, Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri, Jumapili Asubuhi Meja Jenerali " Osama Rabie", Mwenyekiti wa mamlaka ya Mfereji wa Suez, aliwapokea Dkt. " Ashraf Sobhy" , Ujumbe wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa na kundi la viongozi wa Wizara; ili kufanya Kongamano kuhusu Mfereji wa Suez, ndio Ateri ya uchumi wa Misri. 

Na kwa upande wake, Meja Jenerali

 " Osama Rabie" alielezea furaha yake kubwa kuhusu kukutana na wajumbe wa Udhamini wa Kiongozi " Gamal Abd El Nasser" na wakati wa mazungumzo yake aligusia Mfereji wa Suez na umuhimu wake kama kituo cha kimkakati kinachowakilisha muungano wa kiuchumi na kibiashara kwa sekta mbalimbali za kimataifa, akiashiria kuwa  ziara hiyo ina shahidi kubwa inayolenga kuwatambulisha vijana Ateri hiyo ya kimataifa na mtiriko wa maji usioshindana; kwani vijana ndio tumaini, mustakabali

 , viongozi wa leo na kesho na msukumo mkuu kwa Mwenendo wa Maendeleo. 

Mkutano ulijumuisha neno la Mkuu wa ujumbe wa Pakistani unaoshiriki katika Udhamini, na alielezea fahari na pongezi yake kwa uzoefu alioishi nchini Misri wakati wa ushiriki wake katika Udhamini, akitoa Shukrani na salamu kwa Maafisa wa mamlaka kwa kazi yao weledi na ya heshima Duniani kote. 

Na pia Mheshimiwa Waziri " Ashraf Sobhy" alipongeza kazi weledi katika mamlaka wa Mfereji wa Suez, akiashiria na kusisitiza kuwa nchi ya Misri ilifanya juhudi kubwa kwa uangalizi wa Rais wa Jamhuri; ili kuwajulisha vijana wa mabara  wanaoshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa na kuwaonyesha taasisi zote na sekta za kitaifa ambazo zina ushawishi muhimu katika nchi; ili kuhamisha uzoefu kwa jamii yao na kuwawezesha kama Mabalozi wa Misri Duniani kote.

Mwishoni mwa kikao cha kwanza cha ziara hiyo , Mwanajeshi " Osama Rabie" alimpa Dkt. " Ashraf Sobhy" nigao ya Mfereji mpya wa Suez na waziri pia alimpa zawadi ya ukumbusho.

Na kwa upande mwingine, Bw " George Safwat" , Mzungumzaji rasmi wa Mfereji wa Suez alielezea kuwa tangu 1859 michakato ya uboreshaji na maendeleo ndani ya Mfereji wa Suez hayakukomesha, jambo ambalo linaufanya kushughuli kwa viwango vya kimataifa, pamoja na huduma nyingi za kielektroniki, na kuingiza kipengele cha mabadiliko ya nambari ambayo iliwezesha njia za ushirikiano na wateja wa Mfereji wa Suez,

tumeshuhudia pia Maendeleo makubwa katika mfumo wa baharini katika mamlaka ya mfereji wa Suez katika uvuvi pamoja na vitengo vya msaada vya baharini au kuendeleza kipengele cha binadamu kupitia mafunzo, kuwezesha na kuendeleza stadi ya wafanyakazi wote katika mamlaka. 

Na pia " George Safwat" aliashiria mradi uliotolewa na Mkuu wa mamlaka kuhusu maendeleo ya sekta ya kusini ya mfereji huo; ili kurahisisha usafiri wa meli, pia inachangia kuongeza uwezo wa upana wa Suez, Na mradi huo ulipata Ruhusa ya Rais wa Jamhuri na utatekelezwa mnamo miaka miwili kwa juhudi binafsi.

Ziara hiyo ilijumuisha kutembelea kituo cha uigaji ,maendeleo ya bahari, jengo jipya la Marina na reli ya "Tahia Misr " Vijana walioshiriki walipigia picha za ukumbusho, katika hali ya ushangaa na kujivunia kile walichokiona tangu waliingia Misri; ili kushiriki katika Udhamini huo.

Kwa upande wake, Mratibu mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa " Ghazaly" alisisitiza kuwa Udhamini unakuja kwa kauli mbiu ya " Ushirikiano wa Kusini_ Kusini"  na unalenga kuhamisha uzoefu wa Misri wa kuunda taasisi za kitaifa na inawakilisha moja ya uratibu wa kutekeleza misingi kumi za mshikamano wa Afro_ Asia, ambao umuhimu wake kutoka jukumu lake la kuendeleza masilahi ya pamoja na Ushirikiano wa Kimataifa.