Dira ya Misri 2030

Dira ya Misri 2030

Mkakati wa Maendeleo Endelevu unawakilisha  :

Dira ya Misri 2030 ni kituo kikuu cha mwendeleo wa maendeleo kamili nchini Misri , unaunganisha hali ya sasa na Mustakbali, pia unapokea mafanikio ya ustarabu mkale wa kimisri, ili kuunda mwendeleo wazi  wa kimaendeleo kwa nchi yenye ustawi ambapo huenezwa Uadilifu wa kiuchumi, na kijamii, na kufufua mchango wa kihistoria wa Misri katika uongozi wa kikanda, pia huonyesha njia inayolenga kuongeza faida toka vyanzo na mazuri ya kimashindano, na hufanya kazi ya kutekleza ndoto na matumaini ya nchi ya kimisri ili kutosheleza maisha yanayofaa .     

 Na pia unazingatia kama kuwakilisha katiba ya Misri mpya , iliyoweka lengo kuu kwa mfumo wa kiuchumi , uliowakilishwa katika kuhakikisha ustawi nchini humo kupitia maendeleo endelevu  na uadilifu wa kijamii, na kusisitiza juu ya ulazima kwa mfumo wa kiuchumi kuangalia ukuaji mwenye uwiano kijiografia, kisekta, na kimazingira.  na unazingatiwa mkakati wa kwanza ulioundwa kulingana na taratibu fulani ya upangaji wa kimikakati mwenye umri mkubwa na kupanga kwa ushirikiano, ambapo uliundwa kwa ushirikiano mpana wa kijamii, ulioangalia mitazamo ya jamii ya kiraia , sekta binafsi, wizara, na Mamlaka za kiserikali, pia ulipata uungaji mkono na ushirikiano mzuri toka washiriki wa kimataifa wa maendeleo , lililoufanya una malengo kamili kwa nguzo  na sekta  zote za nchi ya kimisri.

Na umuhimu wa mkakati huu unakuja khasa katika hali za hivi sasa zinazopo nchini Misri kwa mitazamo yake ya kitaifa,kikanda, na kimataifa pia, yanayohitajika kuangalia tena katika mtazamo wa kimaendeleo ili kusawazisha na maendeleo haya, na kuweka njia nzuri zaidi  za kutendea pamoja kwa njia inayowezesha jamii ya kimisri kwa kuinua toka vikwazo vile vyake, na kuhamisha kwa zamu za nchi zilizoendelea na kuhakikisha malengo ya kimaendeleo yanayohitajika  kwa nchi, na mkakati umebeba dhana  ya maendeleo endelevu kama mfumo wa kiujumla unaoboresha ubora wa maisha siku hizi kwa njia isiyosababisha kasoro katika haki za vizazi vitakavyokuja katika maisha mazuri zaidi, kisha dhana ya maendeleo inayoangaliwa kwa mkakati inategemea pande  kuu  tatu , zinazojumuisha  upande wa kiuchumi, upande wa kijamii, na upande wa kimazingira.         

Pia mkakati unategemea dhana za ' Ukuaji kwa ujumla na endelevu, maendeleo ya kikanda yenye uwianao" linalothibitisha ushirikiano wa wote katika shughuli ya ujenzi na maendeleo, na katika wakati ule ule  linadhamini kunufaika kwa pande zote toka tija ya maendeleo haya, na mkakati unaangalia msingi wa usawa wa nafasi , kuziba mitundu ya kimaendeleo , utumiaji mzuri wa vyanzo, na  kuunga mkono uadilifu , yote yanayodhamini haki za vizazi vitakavyokuja.