Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser katika Ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Silaha Ndogo Ndogo Mwaka wa 1954
Imetafsiriwa na/ Mariam Islam
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled
Nadhani kuwa kila mmoja miongoni mwao anahisi furaha baada ya ziara hii, pia Nadhani kuwa ziara hii yenyewe inatosha na inafikisha maana yake zaidi ya kuzungumza. Na ninajisikia majivuno baada ya kuona risasi zinatengenezwa huko nchini Misri, na kwa wafanyakazi Wamisri, baada ya tulikuwa tukidhani kwamba hatuwezi kuitengeneza. Na kutowepo kitu chochote cha kigeni Kwenye kiwanda hicho huimarisha hisia yangu ya majivuno lakini utengenezaji wake na uongozi wake unaongozwa kwa wahandisi na wafanyakazi wamisri, na haya yanapelekea kwa matumaini, na kujisikia utaifa, unaopelekea kuinua nchi.
Na nilipoondoka kiwanda na nina nguvu zaidi ya nguvu yangu, na ninasikia kuwa siku zijazo zitakuwa angavu sana.
.Na ninawaambia wafanyakazi: lazima wasikie majivuno, kwani wanachangia kujinga sehemu kutoka nchi
Na ninakumbuka wakati tunapokuwa nchini Palestina jinsi tulikuwa dhaifu, ambapo tulikuwa tukiagiza risasi kutoka nchi za nje.
Sasa tunajisikia amani.. tunajisikia nguvu, na ninatakia kwamba wakati ujao utakuwa na nguvu zaidi ya nguvu ya sasa. Mungu awatunze na kuwabariki
Na Assalamu Alaikum wa Rahmatu Allah.
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy