Leopold Sedar Sengour

Leopold Sedar Sengour

"Leo, kupitia Ulinzi wetu wa Senghal, kwanza tunalinda nafsi zetu, kisha, tunalinda Ardhi yetu na wafu wetu, wanaolala chini" waliozikwa", nyumba zetu na watoto wetu, pia kwa Heshima na Karama zetu. Tunafanya zaidi ya hayo, kwani; mnamo wakati huo huo tunaangalia suala la Uhuru na Ushirikiano barani Afrika. "

( kutokana na kauli ya Leopold Sengour, inayotolewa kwa wananchi wa Senghal).

" Leopold Sedar Sengour" mwenye lakabu la " Mhenga wa Afrika", yeye ni rais wa kwanza wa nchi ya Senghal, alizaliwa katika tarehe ya 6, mwezi wa10, mwaka wa1906,katika mji wa " Gawal" kwenye pwani ya Senghal, na alikufa katika tarehe ya 20, mwezi wa 12, mwaka wa 2001, toka Familia ya kikatholiki, baba yake" Duekoi Sengour" amabye ni mfanyabiashara, na mama yake mwenye mizizi ya kiufalme, naye ana malakabu mengi sana kama: " Mkubwa zaidi nchini Afrika", " Mwenye Hekima", " Mtu wa kushangaa", " Mwanafalsafa wa fasihi ya Weusi", " Mpenzi wa Afrika", pia alisifwa kwa mwanadamu mzima, basi yeye ni mshairi, mwanafalsafa, mtu wa dola, mwalimu na mfikiri.

Yeye ni mmoja wapo waliounda Taasisi ya Umoja wa kiafrika, - Umoja wa kiafrika hivi sasa-, na utawala wake uliendelea kwa miaka 20 hivi, na inayotajwa hapa ni ' kabla ya kuchukua Uongozi mnamo kauli yake iliyoeleza kwamba, yeye alikuja kwa ajili ya;Uhuru wa Senghal, baadaye hatabaki katika Uongozi, na hayo kwani lengo lake ni kujenga Umma siyo nchi tu, kwa hivyo alitaka kuelimisha Afrika, naye alihimiza kwa kuunda vyama tofauti vya kisiasa kwa ajili ya Demokrasia.

Bwana Sengour alichukua jukumu la Ujamaa wa Weusi, na hapo tunapaswa kuashiria kwamba, yeye alibeba jukumu hilo barani kwa pande tofauti, kulingana na msimamo wa wanao hilo, ambapo aliangalia Ujamaa wa Weusi, tunakuta Gamal Abd Elnaser aliangalia Ujamaa wa kiarabu, na Ujamaa chanya kwa Nikroma, pia Ujamaa wa kiafrika kwa Kenyata, na Ujamaa wa kilimo kwa Nyerere na wengine.

Aliweza kuacha alama kubwa, basi yeye anazingatia mwanzilishi wa Ushairi mpya wa Senghal, mwanasiasa mwenye Elimu, Rais mwenye Busara, aliingia uwanja wa siasa ghafla kama alisema; kwake siasa kubwa ni Utamaduni, Lugha, Ada na Desturi kuhusu Ustarabu unaojumuisha Ukoo wa Weusi.

katika mwaka wa 1931aliunda (Harakati la Weusi), kisha katika mwaka wa 1934 aliunda Gazeti kwa kichwa cha (Mwanafunzi Mweusi), naye alichaguliwa katika Jumuiya la kitaifa la kifaransa katika mwaka wa 1955, naye aliingia barazani mnamo serikali ya (Adgharfor), kisha alichaguliwa Rais wa Senghal katika mwaka wa 1960,kisha aliunda Gazeti la ( Mfalme Mwafrika) katika mwaka wa 1964.

Naye anazingatiwa mwafrika wa kwanza toka Magharibi ya Afrika anayepata Elimu ya kifaransa, yenye kiwango cha juu, pia yeye ni mwafrika wa kwanza aliyehitimu masomo yake toka ElSorboon 1931, na mwafrika wa kwanza aliyepata daraja la Agrigasion" linalosawazisha kwa Doktora kutokana na chuo kikuu cha kifaransa, mwandishi mweusi wa kwanza aliyepata kiti cha chuo cha kifaransa ( Mjumuiko wa Alkhaldin) 1984, naye ni rais wa kwanza wa Senghal huru mwaka wa 1960, na mwishoni lakini si uchache, yeye ni rais mwafrika wa kwanza aliyeacha Urais mwaka wa 1981, alizungumza Lugha nyingi vizuri sana nazo ni kama: kifaransa, kilatini, na kigiriki, na nyingine. Na vyuo vikuu 30 vya kimataifa vilishindana ili kumpa daraja la Dektora, na miongoni mwao ni: chuo kikuu cha Kairo, Harfard, Serboon, Abidgan, Birout, na vingine.

Akipata tuzo nyingi nazo ni kama: tuzo la Nobel kwa Amani mwaka wa 1968, tuzo kubwa la kitaifa kwa Ushairi mwaka wa 1963, Medali ya kidhahabu kwa Lugha ya kifaransa kwa tungo zake zote 1963, tuzo la Abu Nier mwaka wa 1974, tuzo la Monako ya kifasihi 1977, tuzo la mfalme wa washairi 1978, na tuzo la Alfred Du Funiin 1980. Pia yeye ana tungo nyingi nazo ni kama: kitabu cha " ninachoamini" na ule ni ufupisho wa wazo linalohusiana na Weusi, na hiyo ilikuwa mwaka wa 1988, kitabu cha ( Uhuru : Mazungumzo ya Ustarabu) mwaka wa 1993, na kitabu cha ( Tafakuri zangu) na nyingine.

Naye ana Diwani na kazi nyingi za Ushairi : Marejeo ya mwana mpotevu, Maombolezo ya upepo mwepesi, Waithiopiya, Nyimbo za kivuli, Ujumbe toka msimu mwenye baridi, Masiku, Maombolezo adhimu, Matoleo myeusi, na Maombolezo ya Sabiat na nyingine.

Katika mwaka wa 1971, Rais wa Misri Anwar El Sadat alimpokea Rais wa Senghal ( Sengour) katika Kairo, pia Misri iliunda chuo kikuu cha kitaifa cha kifaransa kwa Maendeleo ya kiafrika ( chuo kikuu cha Senghour) kinachozingatiwa shughuli ya Misri yenye Umuhimu zaidi, iliyochangia katika maendeleo na mawasiliano pamoja na waafrika wanaoongea Kifaransa, na makao makuu yake mjini mwa Aleksandria, kuheshimu na kushukuru kwa michango yake ; basi yeye alichanganika ndoto ya kazi ya Ushairi na ukweli wa kisiasa, lililosababisha kuwepo kubwa kwa binadamu siyo katika Jamii yake tu bali katika Ulimwengu wote.