Anobis Mungu wa kifo na kulinda wafu kwa Mmisri wa Zamani

Anobis Mungu wa kifo na kulinda wafu kwa Mmisri wa Zamani

Imetafsiriwa na/ Alaa Rafat 
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled  

Misri ya kale imefurahisha kwa vivutio vikubwa vingi ,na imeachia  nasi urithi  ustaarabu wa kipekee katika Ustaarabu mwingine ،hadi sasa Tunajivunia na tunatofautisha kwa ustaarabu huu,  Kutoka vivutio  vya kipekee vya Misri ya Kale kwamba  imejua Mungu mmoja na imeitukufu bali imeisogelea na imeitoa sadaka ,si hivyo tu bali utii au uaminifu wake kwa Mungu ulifikia kujenga hekalu kwa Mungu na uliandikwa Alama zake kwenye kuta ,na Mungu ilidhahiri au iliakisi katika mnyama ,mmea na ndege na huona kwamba Mungu imechukuliwa kama alama ya hiri iliyotolewa na Mungu kwa wamisri. 

Lakabu ya mungu iliyoitwa kwa mambo matakatifu haya isiokuwa na maana ya mungu mkuu aliyeumba dunia hii ,lakini ilikuwa kama mungu mahsusi kwa jambo fulani kutoka mambo au masuala ya maisha kama kilimo, mvua, maisha, kifo, Mto wa Naili, hewa na rutuba, na vilevile mngoni mwa Miungu hawa "ANOBIS " aliyekuwa mwenye umaarufu zaidi ,Mungu wa wafu ,Makaburi na kulinda wafu kwa wamisri wa kale au wamisri wa zamani, sababu za kuithamini kwamba mmisri wa kale alichukua au alifanya Anobis mungu wake, ampabo aliona Anobis kama Adui mkubwa kwa miili au maiti ya wafu ,ampabo aliiba makaburi na alicheza kwa miiili au maiti ya wafu na hiyo ilikuwa sababu ya kuithamini au kuitukufu  sadaka kwa wafu na  kulinda wanyonge na hiyo ili kuepuka uovu wake, kuzaliwa kwake ni mwana wa nne kwa mungu "Raa"  kama hudhaniwa kwamba Anobis ni mwana wa mungu "Naftis" kutoka mungu "Ozoris" ,baada ya Neftis, mke wa mungu "Set " alipenda Ozoris mume wa Ezis ,na ozoris alimdhania mke wake na Neftis alipata mimba kwa Anobis ,lakini yeye alikuwa na hofu kutoka mungu "Set" kwa hiyo aliachia Anobis ,lakini Ezis alipojua jambo hilo aliamua kumlea naye alirejesha tena wakati wa kulinda au kuhifadhi mwili wa mungu Ozoris aliyemwunga mkono baadaye katika kuhifadhi mwili wa mungu "Ozoris". 

Lakabu zake:
Mungu Anobis alipata lakabu nyingi, ama Majina yake yalitofautisha ,katika maandishi ya kimisri ya zamani alijulikana kwa jina la Anbu, yaani "mwana wa  mfalme" kama neno la Anbu lina maana ya kuoza na hiyo linaashiria mahusiano ya Anobis kwa maiti na wafu walioozwa katika hali ya kutohifadhi vizuri aliyehusiana na Mumia na mkuu wa Marquee ya mungu kwani alihifadhi mwili wa Ozoris na alikuwa mkuu wa  wataalamu wa kuhifadhi maiti na mkuu wa wanyonge kwani yeye aliongoza wafu katika ulimwengu mwengine na alisimamia mizani ya mioyo ya wafu mara kwa mara kwa mizani ya haki 

Kama alipata majina mengi kama aliyekuwa juu ya mlima wake na aliyekuwa juu ya Kabati la kimungu na aliyekuwa katika mji wa kuhifadhi wafu na mungu wa Ardhi Tukufu 

Maelezo :alisawiri Anobis kwa muundo wa mbwa mweusi au mchanganyiko baina ya mbwa na mwana wa mbwa mwitu kwa sikio kali au kwa sura ya mwanamume shujaa kwa kichwa mwana wa mbwa mwitu , rangi ya nyeusi ilichaguliwa ili kuashiria Udongo wa Bonde la Nile lenye rutuba, ampabo ni alama ya upya na maisha ,kama mbwa mweusi ni alama ya Nguvu, Mlinda wa wafu aliyedhamini haki zao katika hatua au Taratibu za mazishi , bali alisimama pembezoni mwao katika maisha ya mwisho, Kama alidhahirisha katika Michoro yake yenye Umaarufu zaidi kwenye muundo wa mwanamume kwa kichwa cha mwana wa mbwa mwitu aliyesimama au aliyekaliwa ,akibeba mizani ya dhahabu iliyowekwa juu yake moyo wa roho katika kiwanja kimoja miongoni mwa viwanja viwili dhidi ya unyoya wa hakika mweupe katika kiwanja kingine.

Nafasi zake:

Nafasi au duru za Anobis zilitofautisha katika historia ya familia ya kimisri ya kale, yeye amekuwa mlinda wa kaburi na mungu wa wafu na kuhifadhi wafu ,ampabo amefanya Nafasi au duru kuu katika kuhifadhi miili ya wafu ambako kulikuwa  miongoni mwa Nafasi au duru zake zenye umuhimu zaidi ,ampabo amesafisha maiti au miili ya wafu  na ameipaka rangi na ameihifadhi ,baadaye ameiweka katika mavazi ya kitani ،kama ilidhahirisha katika picha.

 Kama alikuwa mwejibikaji wa mizani ya moyo wa mtu aliyekufa mahakamani au katika ukumbe wa mahakama, ampabo anamkaribisha mtu aliyekufa katika ukumbe wa Ozir akipiga magoti au akisimamia chini ya mizani.

Wapi na lini Anobis alidhahirisha ?
Anobis alidhahirisha mara nyingi katika mitazamo ya kitabu cha wafu ,na iliyokuwa yenye umuhimu zaidi "mtazamo wa hukumu ya mwisho "  ampabo aliongoza wafu mpaka ukumbi wa Ozoris na alikuwa pamoja na Ozoris wanatazama tambiko ya Uzito wa moyo wa mtu aliyekufa kama ilishahidiwa alisimama pembezoni mwa kitanda cha kimazishi ,kwa mkono mmoja aliuweka juu ya Mumia katika mkono mwengine ,aliweka alama ya Anakh ,Aidha baadaye unaweza kuona Makuhani waliokuwa wakifanya tambiko za  kufungua kinywa walikuwa wanavaa maski ya mungu "Anobis"

Kituo cha ibada yake kikuu ,ni mji wa Minya bani mzaz Mji wa mbwa kulingana na Wagiriki  ulikuwa mji mkuu wa jimbo au eneo la kumi na saba katika misri ya juu. 


Maelezo wa sanamu ya Anobis:

Sanamu hii ilikutwa ndani ya chumba cha kabati kilichokuwa mbele ya chumba cha kuzuka kama alikuwa akikilinda  Anobis  alikuwa mwenye muundo wa mwana wa mbwa mwitu mweusi anapumzika au anakaa juu ya sanduku, sanduku hili lililobebwa kwenye au juu ya Sled, Sanamu iliundwa kutoka mbao ,lakini masikio na kola zilikuwa kutoka dhahabu, aidha, macho yaliundwa  kwa dhahabu pamoja na Jiwe la Calcite, Anobis anapumzika au anakaa  kwenye sanduku au kaburi liliundwa kutoka mbao ambao hupakwa rangi ya dhahabu ,na lilikuwa lenye baadhi ya mavazi yaliyovaliwa katika Tamasha.

Vyanzo: 

Kitabu cha El-morshid Elsiyahi Eldhahabi : UK.330 hadi UK.332,na UK.215


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy