Maktaba ya Vitabu na Nyaraka za Kitaifa.... Ambapo ni Mojawapo ya Mwanzo Muhimu Zaidi ya Kufundisha Umma wa Waarabu na Eneo la Mashariki ya Katikati

Maktaba ya Vitabu na Nyaraka za Kitaifa.... Ambapo ni Mojawapo ya Mwanzo Muhimu Zaidi ya Kufundisha Umma wa Waarabu na Eneo la Mashariki ya Katikati

Imetafsiriwa na/ Neama Ibrahim
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled 
 

Mohamed Ali Basha alikuwa mtu wa kwanza aliyeunda 
Maktaba ili kuhifadhi nyaraka za kirasmi kwa serikali katika ngome mnamo mwaka 1828, na aliiitwa "sanduku ya daftari" lengo lake lilikuwa kukusanya nyaraka za kirasmi na kuzihifadhi, kisha mjukuu wake, mwana-mfalme, Esmael baada ya zaidi ya mwaka 40 takribani mnamo mwaka 1884, wakati Ali Basha Mubaraka alirudi kutoka ujumbe wake  aliukwenda ili kusoma sayansi za kijeshi hukonchini Ufaransa, na pia aliyekuwa shabiki kwa makataba ya kitaifa katika Paris, kutoka usimamizi, utaratibu, na tofauti za kiutamaduni.

Alijali mengi ugawanyaji  mkubwa wa vitabu ulioeneza huko nchini Misri kati ya msikiti, kanisa na hazina za Awqaf na pengine kadhaa  na makataba binafsi bila ulinzi, pamoja na kuziiba na kuharibu, aliomba kuvikusanya katika maktaba moja kwa kuhifadhi kutoka kuiba na kuharibu, alituma ombi lake kwa mwana-mfalme, Esmael ili kuunda makataba ya vitabu kama maktaba ya kitaifa ya kifaransa, mwana-mfalme, Esmael ndiye alipendelea ombi hilo kwani alitaka kufanya Misri kama nchi ya kigeni, na mnamo machi 23, 1870,  mwana-mfalme, Esmael alitoa taarifa ya juu ya namba ya 66, kwa kuanzisha maktaba ya vitabu iliyopo Ikulu ya Mostafa Fadhili Basha (kaka wa mwana-mfalme, Esmael) mtaani mwa Darb-El-Gamamiz.

Aliiajiriwa mkurugenzi, alichugua mmoja wa wataalamu wa Al-Azhar mjuaji wa sayansi za ufaharisi na alijuteliwa kwa Sehemu ya lugha ya kiarabu, na mwengine alijuteliwa kwa vitabu vya Uturuki, kisha aliweka orodha la maktaba ilisimama kuinufaa kama maktaba ya kitaifa ya Ufaransa. 

Tangu mwanzo watu walioanzisha waliweka malengo kwa maktaba hiyo, ni lazima kuyatumia ili kutoa huduma nzuri zaidi: Mojawapo ya malengo yailiyo muhimu zaidi ya haya ni:

Kuenea uelewano wa kitamaduni kati ya watu wa jamii. 

Kurahisisha kuangalia uzalishaji wa kiakili, wa kifasihi na wa kisayansi kwa Ustaarabu wa binadamu.

Kutoa huduma ya maktaba kwa watafiti na waangalizi, na kupatikana vitu vya maktaba hiyo ili kuziangalia na kuzifaidisha, iwe katika kikao cha maktaba hiyo au kupitia matawi ya maktaba hiyo.

Kukusanya, kuhifadhi na kurekebisha  vitu vya maktaba hiyo vya urithi kutoka vitabu, machapa, muswada na kuvipanga na Kuvitambulisha na kuvitangaza.

Kuimarisha mahusiano ya kisayansi na kitamaduni na maktaba na taasisi mbalimbali katika ndani, pamoja na maktaba za vitabu vya kimataifa na vituo vya kisayansi na vya kitamaduni nje ya nchi, haswa katika nchi za Kiarabu, kupitia ubadilishanaji wa machapisho na habari za kisanaa,  inayofanya kazi kutambulisha maktaba, machapisho yake, na vimiliki vyake.

Maktaba hiyo ilianza enzi yake ya kwanza mnamo mwaka 1870 , chini ya usimamizi wa "Diwani za shule", ambaye jina lake lilibadilishwa mnamo 1875  katika "Ofisi ya Usimamizi wa Maarifa ya Jumla", kisha "Wizara ya maarifa" mnamo 1915, kisha “Wizara ya Elimu” mwaka 1955 , na baada ya kutokia Mapinduzi ya Julai kwa Miaka sita, hasa mwaka 1958, mahusiano ya maktaba hiyo ulihama kutoka Wizara ya Elimu katika Wizara ya Utamaduni na Mwongozo wa Kitaifa, na bado inahusishwa na Wizara ya Utamaduni hadi sasa.

Mnamo mwaka 1899, Khediwe Abbas Hilmi II aliweka jiwe la msingi la jengo  lililounganisha "Kuttabkhana" maktaba hiyo na "Makumbusho ya Mambo ya Kale ya Kiarabu" (ambayo kwa sasa ni Jumba la Makumbusho ya Sanaa ya Kiislamu) huko uwanja wa Bab al-Khalq. jengo lilitengwa kwa Nyumba ya Mambo ya Kale ya Kiarabu, wakati Nyumba ya Vitabu ya Khedive ilikuwa Ghorofa ya kwanza ilitengewa kwa mlango wa kujitegemea, kisha ilifunguliwa rasmi Machi 1904.  Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya elimu na ukuaji wa harakati za uandishi na tafsiri mwanzoni mwa karne ya 20, maktaba ilizidi kuwa finyu pamoja na vitabu vyake, waajiriwa wake, na wasomaji na watafiti walioitembelea mara kwa mara. Mnamo 1930, mawazo mazito yalianza kuhusu ujenzi  jengo jipya ambalo lingeendana na maendeleo ya kimataifa katika mifumo ya kisasa ya maktaba.

Mnamo mwaka 1932, Mfalme Fouad wa Kwanza (Sultani na Mfalme wa Misri) alianzisha Idara ya Nyaraka za Historia katika Jumba la Abdeen ili kuwa hifadhi ya nyaraka za Misri ya kisasa. Alifanya kazi kukusanya amri zilizotolewa na masultani wa ufalme wa Ottoman, ambazo idadi zao zilifikia amri 1,046, ambayo kongwe zaidi kati yake ni mwaka 1597, na kupanga nyaraka za kigeni zinazohusiana na zama za Khedive Ismail, na akafanya mukhtasari wa baadhi yake na kuzitafsiri.

Mnamo mwaka 1935, ardhi la serikali lilichaguliwa huko Darb al-Jamamiz kwenye Mtaa wa "Taht al-Ruba'" kwa sababu ya ukaribu wake na Maktaba ya Kifalme, lakini Baraza Kuu la maktaba ya Kifalme liliweka" Saraia Ismailia" kama mahali ya mwisho kwa maktaba, na Baraza liliidhinisha mchoro wa jengo jipya mnamo 1938.

Mnamo Julai mwaka wa 1938, Waziri wa maarifa, Muhammad Hussein Heikal, amepelekea barua kwa Wizara ya Fedha ili kutenga sehemu ya mgao wa Wizara ya Ujenzi katika bajeti ya Mamlaka ya Ujenzi ili kuanza jengo jipya kwa maktaba "Dar al-Kutub", na kwa hakika mwaka wa 1939 uliwekwa kuanza kazi ya ujenzi, lakini Kuzuka kwa Vita vya kwanza vya ulimwengu kulivuruga mradi huo.

Baada ya mapinduzi ya Julai 23, 1952, kutangazwa kuunda "maktaba ya Kitaifa ya nyaraka" kwa mujibu wa kanuni Nambari ya 356 kwa mwaka wa 1954, na maktaba hiyo ilihamia kutoka jumba la Abdeen katika jengo lililotengwa kwake katika ngome huko kairo.

Mnamo mwaka wa 1959, Tharwat Okasha, Waziri wa Utamaduni na Mwongozo na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la maktaba ya vitabu "Dar al-Kutub", aliombea ufadhili wa jengo jipya kutoka kwa robo ya ruzuku iliyotengwa kwa maktaba hiyo. Ilichaguliwa ardhi mbele ya eneo la Bulaq kwenye kornish ya Nile, inayoitwa "Ramlet Bulaq," na ilitengwa kwa "Dar al-Kutuba"  maktaba hiyo ya Misri, vituo vyake vya kisayansi, na uchapishaji iliyoambatanishwa.

Katika kipindi cha 1971 hadi 1978, vitu vya maktaba hiyo na wafanyikazi walihamishwa polepole licha ya ujenzi usio kamili, kwa sababu ya kuhamia maktaba ya Nyaraka za Kihistoria na Maktaba Kuu kutoka kwa Jumba la Abdeen hadi mahali pa maktaba ya zamani. katika jengo la Bab al-Khalq.

Mnamo mwaka 1971, uamuzi wa jamuhuri ilitolewa ili kuanzisha Mamlaka ya Vitabu Kuu ya Misri, ili kuunganishwa na maktaba ya Vitabu ya Misri, Nyumba ya nyaraka ya Taifa, na Nyumba ya Uandishi na Uchapishaji. Mnamo Oktoba 8, 1989, jengo hilo lilifungua, na tangu wakati huo jengo la Ramlet Boulak lilijulikana kama "Mamlaka Kuu ya Vitabu vya Misri."

Kiini cha kwanza cha milki ya maktaba hiyo "Kuttabkhana" kilikuwa takribanu juzuu 30,000, ambazo zilijumuisha vitabu vya thamani na maandishi yaliyokusanywa kutoka kwa misikiti, ziara, na Al-Takaya (kituo cha kidini cha Ottoman), marejeleo, na mikusanyiko ya ramani ambazo zingeweza kukusanywa wakati huo kutoka turathi za misri kwa muswada na machapisho ya awali, na vilivyojumuisha vitabu vingine vya maktaba ya Wizara ya Kazi za Umma na Maarifa ya umma. Na maktaba ya zamani ya kitaifa ambayo Muhammad Ali Basha aliianzisha kwenye ngome hiyo ili kuhifadhi vitabu vyake mwenyewe.

"Khedive" mwana-mfalme wa Ismail aliangalifu kwa kuendeleza "Kuttabkhana" maktaba hiyo na kuongeza yaliyomo ndani ya vitabu, hivyo alinunua kwa ajili yake (kutoka kwa pesa zake mwenyewe) maktaba ya kaka yake Mustafa Fadhili Basha baada ya kifo chake katika Istanbul kwa kiasi cha lira za Ottoman elfu 13. Ilikuwa maktaba pekee iliyojumuisha mabuku 3,458 ya maandishi adimu na vitabu vya thamani.

Kiini cha kikundi cha kwanza wa vitabu vya kigeni vilikuwa vitabu vya Jumuiya ya Wamisri, ambavyo viliandikwa mnamo 1836, na wageni wengine waliomiminika Misri na walipewa zawadi ya "Katebkhana" maktaba hiyo mnamo 1873. Wanafikra na waandishi wengi kwa miaka mingi walipendekeza kwa maktaba zao za kibinafsi zijumuishwe humo baada ya kuondoka kwao, hivyo warithi wao wakawapa maktaba hiyo.  Maktaba hizo zilijumuisha mikusanyo mikubwa ya waandishi na wanafikra maarufu, kama vile Sheikh Muhammad Abdo, Omar Makram, Abbas Al-Akkad, Ahmed Taymur Basha, Ahmed Zaki Basha, na wengine.

Ukubwa wa vitabu vya "Kutbkhana" maktaba hiyo ilivyoongezeka, mahali hapo palikuwa finyu, hivyo ikahamishwa hadi ghorofa ya kwanza, "Al-Salamlik", katika ikulu ya Mustafa Fadel Pasha. Mnamo 1896 , "Khedive" mwana-mfalme Abbas Hilmi II alijaribu kunyang'anya kipande cha ardhi ili kujenga na kupanua "Kutbkhana" makataba, lakini Hili halikufikiwa.


Mnamo mwaka 1899, Khedive Abbas Hilmi II aliweka jiwe la msingi la jengo ambalo liliunganisha "Kuttabkhana" maktaba hiyo na " Makumbusho ya Mambo ya Kale ya Kiarabu" (ambayo kwa sasa ni Jumba la Makumbusho ya Sanaa ya Kiislamu) huko uwanja wa Bab Al-Khalq. jengo lilitengwa kwa Nyumba ya Mambo ya Kale ya Kiarabu, wakati Nyumba ya Vitabu ya Khedive ilikuwa Ghorofa ya kwanza ilitengewa kwa mlango wa kujitegemea, kisha ilifunguliwa rasmi Machi 1904,  Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya elimu na ukuaji wa harakati za uandishi na tafsiri mwanzoni mwa karne ya 20, maktaba ilizidi kuwa finyu pamoja na vitabu vyake, waajiriwa wake, na wasomaji na watafiti walioitembelea mara kwa mara. Mnamo 1930, mawazo mazito yalianza kuhusu ujenzi  jengo jipya ambalo lingeendana na maendeleo ya kimataifa katika mifumo ya kisasa ya maktaba.

Mnamo mwaka 1932, Mfalme Fouad wa Kwanza (Sultani na Mfalme wa Misri) alianzisha Idara ya Nyaraka za Historia katika Jumba la Abdeen ili kuwa hifadhi ya nyaraka za Misri ya kisasa. 
Alifanya kazi kukusanya amri zilizotolewa na masultani wa ufalme wa Ottoman, ambazo idadi zao zilifikia amri 1,046, ambayo kongwe zaidi kati yake ni mwaka 1597, na kupanga nyaraka za kigeni zinazohusiana na zama za Khedive Ismail, na akafanya mukhtasari wa baadhi yake na kuzitafsiri.

Mnamo mwaka wa 1935, ardhi la serikali lilichaguliwa huko Darb al-Jamamiz kwenye Mtaa wa "Taht al-Ruba'" kwa sababu ya ukaribu wake na Maktaba ya Kifalme, lakini Baraza Kuu la maktaba ya Kifalme liliweka" Saraia Ismailia" kama mahali ya mwisho kwa maktaba, na Baraza liliidhinisha mchoro wa jengo jipya mnamo 1938.

Mnamo Julai mwaka  1938, Waziri wa maarifa, Muhammad Hussein Heikal, alipelekea barua kwa Wizara ya Fedha ili kutenga sehemu ya mgao wa Wizara ya Ujenzi katika bajeti ya Mamlaka ya Ujenzi ili kuanza jengo jipya kwa maktaba "Dar al-Kutub", na kwa hakika, mnamo mwaka 1939 uliwekwa kuanza kazi ya ujenzi, lakini Kuzuka kwa Vita vya kwanza vya ulimwengu kulivuruga mradi huo.

Baada ya mapinduzi ya Julai 23, 1952, kutangazwa kuunda "maktaba ya Kitaifa ya nyaraka" kwa mujibu wa kanuni Nambari ya 356 kwa mwaka wa 1954, na maktaba hiyo ilihamia kutoka jumba la Abdeen katika jengo lililotengwa kwake katika ngome huko kairo.

Mnamo mwaka wa 1959, Tharwat Okasha, Waziri wa Utamaduni na Mwongozo na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la maktaba ya vitabu "Dar al-Kutub", aliombea ufadhili wa jengo jipya kutoka kwa robo ya ruzuku iliyotengwa kwa maktaba hiyo. Ilichaguliwa ardhi mbele ya eneo la Bulaq kwenye kornish ya Nile, inayoitwa "Ramlet Bulaq," na ilitengwa kwa "Dar al-Kutuba"  maktaba hiyo ya Misri, vituo vyake vya kisayansi, na uchapishaji iliyoambatanishwa.


Katika kipindi cha 1971 hadi 1978, vitu vya maktaba hiyo na wafanyikazi walihamishwa polepole licha ya ujenzi usio kamili, kwa sababu ya kuhamia maktaba ya Nyaraka za Kihistoria na Maktaba Kuu kutoka kwa Jumba la Abdeen hadi mahali pa maktaba ya zamani. katika jengo la Bab al-Khalq.

Mnamo mwaka 1971, uamuzi wa jamuhuri ilitolewa ili kuanzisha Mamlaka ya Vitabu Kuu ya Misri, ili kuunganishwa na maktaba ya Vitabu ya Misri, Nyumba ya nyaraka ya Taifa, na Nyumba ya Uandishi na Uchapishaji. Mnamo Oktoba 8, 1989, jengo hilo lilifungua, na tangu wakati huo jengo la Ramlet Boulak lilijulikana kama "Mamlaka Kuu ya Vitabu vya Misri." 

Mnamo mwaka  1993, uamuzi ya jamuhuri Namba ya 186 ilitolewa kuanzisha Mamlaka Kuu ya Maktaba ya nyaraka za Kitaifa, kwa kuwa mamlaka huru kutoka kwa Mamlaka ya umma ya Vitabu ingawa walishiriki jengo moja.

Mnamo 2014, walishuhudia maendeleo makubwa na ufunguzi mpya wa jengo la Bab Al-Khalq.

Mnamo mwaka wa 2019, maktaba hiyo "Dar Al-Kutub" ilishuhudia maendeleo ya ukumbi kuu la usomaji, ambapo ukumbi huo ulikuwa na kompyuta kadhaa ambapo wasomaji wanaweza kutazama vitabu vilivyochapishwa, nyaraka mbalimbali na machapisho ya kidijitali, na inaweza kuchukua walengwa 230, na maudhui ya maarifa ya maktaba ilisasishwa ili kujumuisha sehemu kuu tatu: Ya kwanza: kwa Mkusanyiko wa Nobel, ambayo inajumuisha kila kitu kilichoandikwa kuhusu Wamisri walioshinda Tuzo ya Nobel ya kimataifa, pamoja na kazi zingine za wapokeaji wa Tuzo za serikali, pamoja na Dkt. Boutros Ghali, Tawfiq Al-Hakim, na Ihsan Abdel Quddous.  Sehemu ya pili: ina machapisho ya hivi punde katika nyanja mbalimbali za maarifa.  Sehemu ya tatu: Imejitolea kwa maandishi yanayohusu mada za kupendeza kwa msomaji wa jumla na maalumu.

Ukumbi huo umekuwa dirisha linaloruhusu wanafunzi wanufaika kupata aina mbalimbali za maarifa kupitia huduma zinazopatikana kwa wasomi na watafiti wa Misri, waarabu, na wageni.  Lango lake la kielektroniki lilizinduliwa, lililofanyiwa marekebisho ili kuendana na mahitaji ya maendeleo ya kiteknolojia ya utambuzi. Jukwaa la kielektroniki hutoa huduma zake kwa mgeni katika lugha tatu: Kiarabu, Kiingereza na Kifaransa, na huduma nyinginezo zimeongezwa kwake, ambapo zikiunganisha na ripoti ya elektroniki ya masomo, pamoja na uwezekano wa ununuzi wa elektroniki wa machapisho yaliyopo. 

Yaliyomo kwenye maktaba ya nyaraka ina utajiri mkubwa, ina machapisho ya awali ulimwenguni na idadi kubwa ya vitabu, michora, ramani, nyaraka, jumbe za kale, maandishi, majarida, sarafu na mabaki ya kihistoria.  Biblia ilikuwa ya kwanza kuchapishwa katika mashine ya uchapishaji ya Gutenberg, ambayo ilijulikana kama Biblia ya mistari 42 mwaka 1455, na mojawapo ya machapisho ya kwanza ilikuwa Mohaml "Incunabula", ambayo ni istilahi ililotolewa kwa vitabu vilivyochapishwa kati ya miaka 1450 na 1501, kwani ni vitabu vilivyochapishwa katika miaka ya kwanza ya ujio wa uchapishaji.

Maktaba hiyo "Dar Al-Kutub" ina machapisho mengi ya awali yaliyoanzia enzi hizo za mapema katika historia ya uchapishaji duniani.

Idadi ya muswada zilifikia nambari 51,193 za kuhifadhi, zikiwa na juzuu 59,321 sawa na anwani 88,164. Maktaba maarufu zaidi ambazo zina maandishi haya ni: Maktaba ya Timurid, Maktaba Al-zakia, Maktaba ya Mustafa Fadoel Basha, Maktaba ya Khalil Agha, Mmiliki wa Shule maarufu ya msitu, Maktaba ya Imamu Muhammad Abduh, Hii ni pamoja na Zeid ya lugha, kama vile Kiarabu, Kiajemi, na Kituruki, na katika sayansi mbalimbali, kama vile: matibabu, uhandisi, kemia, astronomia, na fiqhi, zote ziko katika ukumbi wa Maandishi kwenye ghorofa ya nne.

Inajumuisha mkusanyo wa Qur'ani tukufu na Robo za Qur'ani, baadhi zikiwa kwenye utumwa, kongwe zaidi kati ya hizo ni mnamo mwaka  77 Hijria, na ni Qur'ani inayohusishwa na Imam Hassan Al-Basri, pamoja na kikudi nadra cha  Mamluk Qur’ani na kundi adimu la maandishi ya Kiajemi yaliyopambwa kwa picha, kama vile nakala ya kitabu “Kalila Na Dimna", ambayo inajumuisha picha 112 za rangi za karne ya 8 Hijria, na nakala ya "Shahnameh" na mshairi wa Kiajemi Abu al-Qasim Hasan bin Ishaq al-Firdawsi, iliyoanzia mwaka 796 Hijria na kujumuisha picha 67 za rangi.

Maktaba hiyo ina nyaraka zinazohusiana na historia ya Misri kutoka enzi ya Fatimid hadi tarehe ya kisasa, pamoja na kuweka nyaraka zinazohusiana na historia ya Sudan, Al-sham, na rasi ya kiarabu, pia inashikilia nyaraka zinazohusiana na historia ya Krete. Uturuki, Maghreb, Iraq, Iran, Ethiopia, Eritrea, Somalia, Djibouti, Uganda, Kenya, na eneo kwa ujumla, na imegawanywa katika vikundi:

Mikusanyo ya nyaraka huru: Hizi ni nyaraka zinazohusiana na taasisi huru katika serikali, na mikusanyo yao ni: Diwani ya Jihadia, Diwani ya Juu ya kifalme, hoja za wana-wafalme na masultani, na kumbukumbu za Wizara ya Mambo ya Nje.

Nyaraka za kiuchumi:

Mkusanyo wake ni: Diwani al-Rozanama, Nyumba ya Fedha, Majidiyya Qumbaniyah, Wizara ya Uchumi, na Wizara ya Kilimo.

Nyaraka za kisheria: Hizi ni nyaraka zinazohusika na kuthibitisha haki na hoja za kisheria.  Makundi yake ni: Mahakama Kuu, Mahakama ya Kitengo cha Kijeshi, na Mahakama ya Sharia ya Misri.

Nyaraka za asili maalumu: ikiwa ni kumbukumbu za viongozi, na nyaraka za Hijaz, za Al-sham, na za Sudan:

Mojawapo ya mikusanyo yake ni nyaraka za Al-Azhar Al-Sharif:  nyaraka za Mapinduzi ya Urabi, nyaraka za Khartoum, nyaraka za Dongola, nyaraka za Hejaz, nyaraka za Geniza, nyaraka za Saeed Basha, na nyaraka za Mfereji wa Suez.

Nyaraka za Huduma:

Inajumuisha kumbukumbu mbalimbali katika nyanja ya huduma, ikiwa ni: nyanja za elimu, usafiri, na miradi ya umma.

Vikundi vyake ni: Diwani ya Shule, Diwani ya Trafiki na Reli, kituo cha Maji la Kairo, Baraza Kuu la Vyuo Vikuu, Al-Daftar Khana, na Wizara ya Nguvu ya Umma.

Nyaraka za idara ya ndani
Hizi zinahusika na nyaraka zinazohusiana na kurugenzi na Majimbo ya Misri tangu kuanzishwa kwao, pamoja na kuwa na takwimu muhimu zilizofanywa nchini Misri.  Vikundi vyake ni: Jimbo la Misri, Wizara ya Mambo ya Ndani, Jimbo la Al-Arish, Sensa ya Watu, kituo kikuu cha polisi cha Jarja.

Bibliografia:
Inajumuisha kuhesabiwa kwa kina kwa vyanzo vilivyo huru vya habari, kama vile vitabu, nadharia za chuo kikuu, mizunguko, n.k.

Pia inashughulikia vitabu, mizunguko, barua, na nyanja zingine, na ni orodha zilizopangwa kulingana na mfumo wa vyanzo binafsi kwa kila mada mahususi, mtu, au vile vitabu, barua, au mizunguko iliyochapishwa katika kipindi maalumu cha wakati au mahali maalumu.

Michoro:


 Inajumuisha michoro kadhaa  adimu, ikijumuisha: mchoro wa maandishi ya Kiarabu yaliyopambwa, na mchoro wa kupendeza unaojumuisha maandishi ya Kiarabu.

Mafunjo:

 Maktaba hiyo ina zaidi ya mafunjo 3,739 kwa Kiarabu, Kigiriki na Kikoptiki, zikiwemo mafunjo 2,627 zilizoandikwa kwenye karatasi ya mafunjo, 1,050 zilizoandikwa kwenye karatasi ya kagad, mafunjo 3 zilizoandikwa kwenye marumaru, na mafunjo moja iliyoandikwa kwenye Kitambaa, maktaba hiyo pia inajumuisha mkusanyiko adimu wa karatasi za mafunjo ya kiarabu zinazojumuisha nyaraka, barua, mikataba ya uuzaji, ya ununuzi, na ya ndoa.

Mambo ya Kale:

Maktaba ya Vitabu na vya nyaraka ya Kitaifa na idadi kubwa ya vitu vya kale adimu kutoka kwa mkusanyiko huo, kama vile sanduku la vito vya dhahabu lililowekwa kijisehemu katika umbo la Kuba ya Mwamba huko Jerusalem, ambayo juu yake ni Kurani adimu, na kito cha yai lililochongwa na kazi za Khedive Ismail juu yake..n.k, na vilevile limehifadhiwa katika Makumbusho ya maktaba hiyo katika Bab Al-Khalq, vinapatikana  bure. 

Ramani:

 Mamlaka ina utajiri mkubwa wa ramani za aina mbalimbali kulingana na wakati na mahali, na hifadhi yake ya ramani imekuwa ramani 18,253, na kazi inaendelea ya kusajili ramani zengine kwenye hisa za Mamlaka.

Mizunguko:

 Maktaba hiyo ina zaidi ya hati 6,000 za Mizunguko (magazeti na majarida) katika lugha ya Kiarabu katika usimamizi wa vitu binafsi vya Dar Al-Kutub, vilivyokusanywa katika juzuu 240,000, na zaidi ya anwani 7,000 za Mizunguko katika lugha za kigeni, zilizokusanywa katika juzuu 250,000. hukusanywa kupitia ununuzi. Au amana, zawadi, au kubadilishana. Miongoni mwa Mzunguko wa zamani zaidi ndani ya maktaba ni magazeti ya Misri, Gazeti la Mokattam na Al-Ahram.

Sarafu:

katika maktaba ya vitabu ya kimisri, Kuna kikundi kikubwa cha sarafu za kiislamu, idadi yao inafikia sarafu elfu 13 na 214. Pia kuna  ndani yake kitabu kilichohusu kwa pesa, kitu cha glasi kilichotumika katika Kupima pesa, vipuli, na medali za kiislamu ambazo idadi zao kufikia  takribani 6400.

Vyanzo:

Tovuti ya Maktaba ya Vitabu


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy