"Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  " watembelea Taasisi ya Kiarabu ya Viwanda  

"Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  " watembelea Taasisi ya Kiarabu ya Viwanda  
"Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  " watembelea Taasisi ya Kiarabu ya Viwanda  
"Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  " watembelea Taasisi ya Kiarabu ya Viwanda  
"Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  " watembelea Taasisi ya Kiarabu ya Viwanda  

Jumanne Asubuhi, Wajumbe wa Vijana wanaoshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa  wametembelea Taasisi ya kiarabu ya  Viwanda kwa mahudhurio ya " Hassan Ghazaly " , Mratibu Mkuu wa Udhamini wa  Nasser  kwa Uongozi wa Kimataifa  kwa toleo lake la pili, na kundi la viongozi wa Wizara ya Vijana na Michezo.

Hiyo ilitokea mwanzoni mwa shughuli za siku ya nane kutoka Udhamini huo  kwa  toleo lake la pili, ulioandaliwa na Wizara ya Vijana na Michezo, ikiongozwa na  Dkt. Ashraf Sobhy, kwa ushirikiano na Chuo cha Taifa cha Mafunzo, Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri na taasisi kadha za kitaifa, pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El-Sisi na inayofanyika hadi katikati mwezi wa Juni ujao kwa kauli mbiu "Ushirikiano wa Kusini-Kusini" kwa Ushirikiano wa idadi ya viongozi  mashuhuri wa Vijana kutoka mabara ya Asia, Afrika na Amerika ya Kusini.

Wajumbe wa Vijana walioshiriki katika Udhamini huo baada ya kuwasili katika Taasisi ya kiarabu ya viwanda  walipokelewa na Jenerali Abd El Moneim Al-Terras, Mkuu wa Taasisi ya kiarabu  ya Viwanda, kwa mahudhurio ya Dk Mamdouh Abdel Aziz, Mkuu wa idara kuu wa Masuala ya Waziri, Hassan Ghazali, MratibubMkuu wa udhamini huo na Reda Saleh, Mkurugenzi Mkuu wa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma na Nje, Randa Al-Bitar, Mkurugenzi Mkuu wa Idara Kuu ya Bunge na Elimu ya Uraia.

Mwanzoni mwa hotuba yake,  Jenerali Abdel Moneim Al-Terras, Mkuu wa Taasisi kiarabu ya Viwanda, aliwakaribisha viongozi wa Wizara ya Vijana na Michezo na wajumbe wa vijana wanaoshiriki katika Udhamini wa Nasser  kwa Uongozi wa Kimataifa  kutoka mabara matatu. ya Afrika, Asia na Amerika ya Kusini, akiashiria kwamba Vijana wa Misri wanajaliwa sana na uongozi wa kisiasa wa Misri kwa ajili ya urekebishaji na Uwezeshaji baada ya mafunzo, ambapo  Misri inafanya jitihada kubwa katika faili ya vijana kwani inazingatiwa ni msingi imara wa kufikia ustawi na maendeleo katika jamii ya kimisri, pamoja na ujali wa  serikali ya Misiri na uongozi wa kisiasa kwa kujenga upya utu wa Misri na kuwawezesha vijana ili kuchukua nafasi sahihi kwao na  inayofaa kwa uwezo wao, haswa kwamba vijana ndio wenye uwezo zaidi wa kutumia teknolojia  ya enzi hii, na kusisitiza kuwa anatilia maanani na kuthamini jukumu la Wizara ya Vijana na Michezo katika kuwawezesha na kuelimisha vijana na juhudi zinazofanywa katika shughuli nyingi  na tofauti katika mikoa yote ya Jamhuri.

Al-Terras alisifu ,  katika hotuba yake ndani ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa, unaoshika jina la Abd El Nasser, aliyechukua madaraka ya Urais akiwa na umri wa miaka 36, ​​akisisitiza kuwa vijana ndio ni mustakabali, na kwamba vijana wanapaswa kutambua na kuelewa  masuala ya nchi yao na masuala ya wakati huo, na kufahamu zana za enzi yao haswa wakati wa matishio makubwa ambayo vijana wanakabiliana nayo kupitia mawazo potofu yanayowatolea kwao

Kupitia mitandao ya kijamii na  yanawafikishia mawazo kutoka nje ya nchi ambamo wanaishi , jambo ambalo limekuwa kuathirika sana kwa maoni ya Umma haswa vijana. Mkuu wa Taasisi  kuu aliomba kwa lengo la kuwarekebisha vijana inapaswa kudhibiti wanavisoma ambapo wanakumba maelezo aghalabu yake ni makosa au potofu au   yazingatiwe ndani ya wigo wa vita vya kisaikolojia , jambo ambalo linavyohitaji uchunguzi wa kila kitu kinatangazwa kupitia mitandao ya kijamii.

Wakati wa hotuba yake,Mkuu wa Taasisi ya kiarabu ya  Viwanda aligusia uanzishaji wa Taasisi hiyo, ambayo kwa mujibu wa sheria ni shirika la kiarabu la kimataifa  lenye uhuru wake wa kifedha na kiutawala, ilianzishwa kupitia nchi nne: “Misri, Saudi Arabia, Emirates na Qatar.” Kisha, baada ya makubaliano ya Amani na Israel, nchi hizo tatu zilijiondoa ili Misri idumishe Taasisi ya kiarabu   ya viwanda  kama chombo huru chenye kanuni na sheria zilezile, na Al-Terras akaongeza kusema  kuwa Taasisi ya kiarabu ya viwanda   ni mojawapo ya  tawi  za viwanda ambazo Misri inazozitegemea ili  kukidhi mahitaji yote katika nyanja zote, yaani katika kujitegemea na kuwa na  uwezo, akiashiria kuwa Taasisi hiyo hutoa msaada kwa nchi za Kiafrika na za Kiarabu katika nyanja za viwanda  kupitia   kutoa uwezo wote wa  elimu, kiufundi na viwanda kwao bila kizuizi au masharti, kwani inaongoza na kutekeleza vigezo vya kimataifa katika viwanda, teknolojia, au kuwafundisha makada wa binadamu, si tu kwa manufaa ya Misri bali kwa manufaa ya nchi zote.

Al-Terras ameongeza kuwa uzoefu wa kimisri unashuhudia mabadiliko  makubwa yasiyokuwa na kifani katika nyanja zote za maisha, na ya kwanza   ni kutumia programu ya teknolojia katika nyanja zote za maisha na mabadiliko ya dijiti, akiashiria kuwa Taasisi  ya kiarabu ya Viwanda inatekeleza vigezo vya kimataifa kwa ajili ya  kutunza mazingira na kushiriki katika utekelezaji wa miradi inayohusiana na mazingira.Al-Terras alisisitiza kuwa, kutunza mazingira ni jambo muhimu sana na kwamba Wizara ya Mazingira ya Misri ina nafasi kubwa na muhimu katika suala hilo haswa wakati Misri inafanya jitihada kwa uchumi wa kijani unaozingatia matumizi ya nishati safi na kupanua matumizi yake. sasa  tunakuta Misri ni Kituo kikubwa cha nishati ya Jua ulimwenguni. vilevile , ipo   miradi na mipango kadha inayohusiana na hili, kwa mfano, mpango unaotekelezwa na usimamizi wa Rais Abd El Fatah El-Sisi ili kuanzisha  matumizi ya gesi asilia kama mbadala wa mafuta ya kawaida, kwa kuzingatia msimamo wa serikali wa kuelekea mwelekeo pia ipo ndani ya mfumo huu  ambao ni miongoni mwa mradi wenye nguvu idadi kubwa ya viwanda vinaanzishwa ili kutumia tena takataka na kutunza  mazingira.

Washiriki wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa walitoa   maswali kadhaa kwa Jenerali Abd El Moneim Al-Terras, Mkuu wa Taasisi ya kiarabu ya Viwanda, wakati wa mkutano wao naye, na mkutano ukahitimishwa na Mkuu wa Taasisi ya kiarabu ya  Viwanda kwa  kuwa  Mkuu wa idara kuu ya mambo ya Waziri  Dkt.Mamduh Abd El Aziz alimpa Ngao ya Wizara ya Vijana na Michezo kwa Mkuu wa Taasisi ya kiarabu ya Viwanda,kisha Jenerali Abdel Moneim Al-Terras akamkabidhi Ngao ya Taasisi ya kiarabu ya Viwanda kwa mwakilishi wa Wizara ya Vijana na Michezo, Dk Mamdouh Abdel Aziz.

Ziara ya washiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa kwa  Taasisi ya  kiarabu ya Viwanda ilikuwa pamoja na  kutembelea Chuo cha Taasisi ya kiarabu ya  Viwanda, kinachohusika na mafunzo na kukuza uwezo wa uvumbuzi, mabadiliko ya dijiti, udhibiti wa kiakili, na uwekaji wa otomatiki ambapo wamejua kile chuo  kinacholenga   ili kuongeza uwezo  wanafunzi wa maelewano kwa majukumu na kuwaongoza desturi ya kufanya kazi vizuri  pamoja na kuwahimiza kwa mawazo ya kiubunifu ambayo inawawezesha kushughulika na utamaduni wa uzajlishaji ya kiteknolojia . vilevile ,imeshatembelea  warsha chuoni ,  kujua  njia za kuwasha vyombo mbalimbali na kutazama kiwanda cha Huawei, Siemens, na kiwanda cha ubunifu. 

vilevile,   washiriki  wa udhamini huo katika toleo lake la pili, wakati wa ziara yao  kwa Taasisi ya kiarabu ya  viwanda  walitembelea   kiwanda cha  vifaa vya elektroniki ambapo mpokeaji wa kwanza ni

Meja Jenerali Ahmed Abdel Aziz, Mkurugenzi wa idara ya  Kiwanda cha Elektroniki, ambacho ni mojawapo ya viwanda vya Taasisi ya kiarabu ya viwanda  ambacho kinatengeneza kamera za picha za kidijitali, kamera za uchunguzi, tablet, skrini smart, skrini na vipokezi mbalimbali. vifaa vya umeme, teknolojia ya LED, na boards  za kompyuta, na ziara hiyo ilihitimishwa kwa matembezi ndani ya  maonesho ya taasisi kiarabu ya Viwanda, ambapo walitambulishwa  kwa kile kinachotolewa  na  Taasisi hiyo na inachotengeneza   ikiwa ni pamoja na  magari ya zimamoto, magari  yaliyotayarishwa , bidhaa na nyinginezo.  pamoja na kazi za makampuni kadha , ikiwa ni pamoja na Kampuni ya kiarabu ya Uingereza ya  Motors, Kiwanda cha Qadir kwa Viwanda vinavyoendelea , Kiwanda cha Saqr cha Viwanda vya maendeleo, na Kiwanda cha Helwan cha Viwanda cha maendeleo.

Washiriki wa udhamini huo walielezea fahari yao na kuvutiwa kwao na kile walichokiona   katika Taasisi ya kiarabu ya Viwanda, wakisifu kazi na mafanikio ya taasisi hiyo na kiwango cha maendeleo, viwanda, teknolojia na mafunzo waliyotazama wenyewe wakati  wa ziara yao kwa Taasisi ya kiarabu ya Viwanda.  washiriki wa udhamini huo walipiga picha za kumbukumbu mwishoni mwa ziara wakati  Makaribisho makubwa na furaha kutoka kwa kila mtu kwenye ziara hiyo muhimu. 

Kwa upande wake, Mratibu Mkuu wa Udhamini wa  Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa " Hassan Ghazaly " , alieleza kuwa udhamini huo , katika toleo lake la pili  , ukiwa na kauli mbiu ya “Ushirikianko kwa jili ya Kusini -Kusini ” kama msimamo  unaoutegemea  ambapo inakusudia ushirikiano kati ya nchi za kusini , ushirikiano wa kimaendeleo kati ya nchi za kusini mwa Dunia katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kijamii, Kiutamaduni , kimazingira au kiufundi, pamoja na kubadilishana ujuzi, uzoefu, ujuzi wa utendaji, ufumbuzi na teknolojia,kuunda nafasi za kazi, kujenga Miundombinu na kukuza biashara katika nchi za Kusini, ambayo ni sura mojawapo ya sura za  mshikamano kati ya watu na nchi za Kusini ambayo inachangia Kufikia ustawi wao wa kitaifa , na kujitegemea kwao kitaifa na kwa pamoja. Ushirikiano huo umechangia kuongeza  kiasi cha biashara, mtiririko wa uwekezaji zaidi wa moja kwa moja wa kigeni, na kusonga mbele kufikia ushirikiano wa kikanda kati ya nchi za Kusini. inawezekana  Ushirikiano huo  kuwa kati ya nchi mbili au  kikanda, au kati ya kanda, na unaweza kujumuisha nchi mbili au zaidi zinazoendelea. Pia kuna ushirikiano wa pande tatu.

Ghazaly aliongeza kusema  kuwa Udhamini wa Nasser kwa  Uongozi wa Kimataifa  unazingatiwa ni miongoni mwa  mbinu za kufikia lengo la nane la Maoni ya 2030 ya Misri, ambayo ni kufikia na kuimarisha nafasi ya uongozi wa Misri, ambapo Ajenda ya kitaifa ilitilia mkazo wa  kuunganisha malengo yake ya kimaendeleo pamoja na malengo ya kimataifa kwa upande mmoja, na ajenda ya kikanda, haswa Ajenda 2063 ya Afrika kwa upande mwingine ambapo Baada ya mafanikio ya Misri katika kurejesha utulivu wake na kuboresha uhusiano wake na kanda zake za nje, lengo la kuimarisha nafasi na uongozi wa Misri katika Kiwango cha  kikanda na kimataifa imekuwa  muhimu  ili kusukuma gurudumu la maendeleo ya kina,  jambo ambalo linafikiwa kwa mbinu kadha na inazingatiwa kuwa uungaji mkono wa kuimarisha  ushirikiano  wa kikanda na kimataifa ni mojawapo ya mbinu iliyo muhimu zaidi  Kwa hiyo, kauli mbiu ya Udhamini  ilikuwa “Ushirikiano wa Kusini-Kusini.”  kama mojawapo ya mbinu .