"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 

"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 
"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 
"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 
"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 
"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 
"Ahmed Sokarno" Mwanzilishi wa Mapambano 

Ahmed Sokarno alizingatiwa moja wapo ya wahusika wa Malaysia muhimu zaidi katika tarehe ya nchi hiyo ambapo alipozaliwa, jina lake lilikuwa Kosno Dihardjo.

Mvulana huyu mwenye kipaji ameumbwa na hajawazia kwamba atakuwa Rais wa kwanza wa Indonesia baada ya Uhuru wake na akakuwa mwenye Umaarufu mkubwa kutokana na Mapambano yake kwa ajili ya Uhuru ambapo akakamatwa gerezani mwa Ukoloni wa Kiholanzi zaidi ya mara moja kabla ya kutoka mwishoni,akishinda  na akitawala Urais wa Nchi.

Juni 6, 1901,Ahmed Sokarno aliyezaliwa katika mji wa Jawa ya Mashiriki nchini India ya Mashiriki ya Kiholanzi, inayojulikana sasa kama Indonesia.

Ahmed Sokarno alipokea elimu yake ya juu katika Chuo cha Teknolojia cha Bandung ambapo alihusika katika utaalamu wa Uhandisi wa kiraia kisha akamaliza 1925 akapata Uzamivu wa Uhandisi kutoka Chuo Kikuu kimoja cha Kiholanzi.

Uangalifu wake wa kisiasa ulianza tangu miaka yake ya kwanza katika Chuo hicho, Na akazingatiwa mmoja wa viongozi wa wanafunzi maarufu zaidi wanaoomba Uhuru kutoka kwa Ukoloni wa Kiholanzi na alikuwa mwanachama wa Chama cha kitaifa cha Kiindonesia na baadaye kiongozi wake.

Mamlaka za Kiholanzi zilimkamata zaidi ya mara moja mnamo1928, kisha mnamo1933, akakamatwa mara nyingine, na kupelekwa kwa kisiwa cha Flores kisha kwa kisiwa cha Sumatra hadi 1942 ambapo majeshi ya Ukoloni wa Kijapani wameachilia huru.

Baada ya kushindwa kwa Wajapani katika vita vya pili vya Dunia wamapinduzi wa Kiindonesia walitangaza uhuru wa nchi yao na wakamgombea Ahmed Sokarno kama Rais wao na akashughulika cheo hicho kutoka 1945 hadi 1968.

Kutoka shughuli zenye maarufu zaidi zilizofanyiwa na Ahmed Sokarno mnamo miaka yake ya kwanza kwa utawala , Matakwa yake kwa kufanya mkutano wa Bundung kutoka kipindi cha 18 hadi 24,Aprili 1955, uliohudhuriwa kwa nchi 29 kutoka Mabara mawili ya Asia na Afrika, na Rais wa zamani wa Misri Gamal Abd El Nasser, Waziri Mkuu wa Kiindia Jawaher Lal Nehru na Kichina Chuan Laiman wote walikuwa miongoni mwao maarufu zaidi ya Hadhira. 

Mkutano huo ulisababisha kuanzisha kikundi cha Afro-Asia katika Umoja wa Mataifa kisha Harakati  isiyofungamana na upande wowote baadaye.

Licha ya Sokarno angalikuwa mfano mkubwa kutoka mifano ya Uhuru katika Dunia ya tatu asingaliweza kukabili changamoto za maendeleo katika nchi yake, baadhi ya nchi za kimagharibi zichukiazo vitendo vyake vya uhuru, zilitumia jambo hilo vibaya na kusababisha uadui na uasi wa  baadhi ya viongozi wa Jeshi.

Mnamo1965 Jenerali Soeharto akaharibu mchakato wa mapinduzi wa silaha uliofanyiwa na wakomunisti, ambapo  Ukiukaji wa haki za Binadamu umetokea.

Wakati wa ugumu wa hali ya Afya kwa Rais wa nchi Sokarno, akatoa uamuzi wa kumshikilia Soeharto Madaraka kwa Niaba mnamo1967,kisha akagombewa kama Rais wa Indonesia mnamo 1968, Sokrano akaendelea kupiga maradhi mpaka akaga Dunia mnamo 1970, akiwa na umri wa miaka 69, Ahmed Sokarno aliaga Dunia Juni 21 ,1970 akiwa na umri wa miaka 69.