Kipindi cha pili "Shughuli ya tabianchi wakati wa Janga la Corona"

Constantinide: ulimwengu mzima uko na  nafasi ya kupona wakati wa Janga la Corona.

Kipindi cha pili cha Programu ya Raia wa Ulimwengu mzima  kilijikita shughuli ya tabianchi mnamo wa Janga la Corona, pamoja na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mazingira na Siku Bahari kuu Duniani.  Na kipindi hicho kilipokea mmoja wa Viongozi wa Wanaharakati wa Tabianchi wa Kimataifa, "Catherine Constantinide" ili kujadili masuala mengi ya mazingira.

Katika mazungumzo yake, Catherine alisisitiza kuwa tunahitaji kufanya juu chini na kuzungumza kwa viongozi wa kisiasa katika nchi mbalimbali ili kupata ufumbuzi na mabadiliko ya tabianchi, akiashiria kuwa mabadiliko ya tabianchi ni haki ya binadamu, na wanachama wote wa jamii wanapaswa kuelewa mabadiliko ya tabianchi ni nini, inafanya nini na athari zake ni nini?

Catherine alisema kuwa mabadiliko ya tabianchi yanasababishwa na mwanadamu kwani mchakato wa utengenezaji unaopatikana Duniani na kujaribu kwa mataifa kuwa makubwa kuliko nchi jirani, yamechangia mabadiliko ya tabianchi na kuwa kipindi kifupi cha kuenea kwa virusi vya Corona na kusababisha kukatisha utengenezaji na kiliruhusiwa nafasi ya Dunia ili kutibu baada ya athari ya wanadamu kwake, na hii haiwezi kukatazwa.

Kipindi cha pili cha Programu ya Raia wa Ulimwengu mzima  kilishuhudia majibu makubwa kutoka kwa watazamaji, ambapo kupokelewa maswali kemkem kuhusu mada ya kipindi hicho, na kuyajibiwa.

Catherine alitoa ushauri kwa vijana ili kuwa na ujasiri kama kupewa nafasi ya kuwasiliana na viongozi wao, kuwa na uhalisia, na kuweka viongozi wao mbele ya changamoto wanazokabiliana nazo ili kuzitoa mawazo ya ubunifu na ufumbuzi.

Vipindi vya programu hiyo vinatangazwa na Amira Sayed, Mwandishi wa habari wa Gazeti la Misri (Egyptian Gazette), ambalo ni gazeti la kwanza la lugha ya Kiingereza katika Mashariki ya Kati, pamoja na kuwa mwakilishi wa Misri katika Bunge la Vijana la Kimataifa la Maji, na lilishiriki katika kuonesha matukio mengi ya kimataifa. ndani na nje ya Misri.

Ni vyema kutaja kuwa orodha ya wageni wa Programu ya Raia wa Ulimwengu mzima  inajumuisha watoaji wa maamuzi na viongozi wa vijana kutoka mataifa mbalimbali Duniani, katika nyanja mbalimbali, kwa lengo la kufikisha ujumbe chanya kwa vijana Duniani ili kuunda kiunganishi kati ya vijana na watoaji wa maamuzi.