Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Wizara ya Vjana na Michezo yahitimisha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

Wizara ya Vijana na Michezo, ikiongozwa na Dkt.AshrafSobhy, iliandaa sherehe ya hitimisho ya matukio ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la pili,leo Jioni, Jumanne, uliozindwa kwa Wizara ya Vijana na Michezo kwa kushirikiana na Chuo cha mafunzo cha kitaifa, Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri na taasisi nyingi za kitaifa kwa Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El -Sisi na inafanyika chini ya kauli mbiu " Ushirikiano wa Kusini_Kusini" kwa ushiriki wa kundi mashuhuri la Vijana kutoka mabara ya Asia, Afrika, na Amerika ya Kusini kwa mahudhurio ya Mratibu Mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa "  Hassan Ghazaly " .

Sherehe ya Hitimisho ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ilianza kwa wimbo wa kitaifa wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri ,kisha maonyesho mbalimbali ya kisanaa na wimbo wa Bendi ya Wizara ya Vijana na Michezo iliongozwa na Maestro 

"  Yasser Mostafa"ulioakisi tamaduni mbalimbali za washiriki na jinsi ya kuhakikisha mshikamano na ushirikiano baina ya wajumbe wa vijana walioshiriki katika Udhamini huo, kisha kuionyesha filamu kutoka matukio ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa.

Na kwa upande wake,Waziri wa Vijana na michezo Dkt. " Ashraf Sobhy" wakati wa hotuba yake katika sherehe ya hitimisho ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa alitoa Shukrani zake kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri "  Abd El Fatah El_Sisi" kuhusu uangalizi wake wa daima katika matukio mbalimbali, shughuli na ushiriki wa Misri, kiarabu, kiafrika na kimataifa ambapo ulimwengu wote unapojumuisha ndani ya nchi ya Amani na Ustaarabu yenye Utajiri Misri.

Na Waziri huyo aliashiria katika hotuba yake kuwa siku hiyo ni ya furaha kwa kuwepo kwa mkusanyiko huo mkubwa wa Waheshimiwa mabalozi, wawakilishi wa nchi na viongozi wa vijana waliohudhuria kutoka Mabara  matatu katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa; kwa Kuheshima jina la Hayati Kiongozi " Gamal Abd El Nasser"  na uliandaliwa kwa uongozi na kuhimiza kukubwa kwa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El -Sisi   na ufuatiliaji wa kudumu wa Waziri Mkuu " Mostafa Madbouly" .

Pia Waziri huyo  aliongeza kuwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa umewapa viongozi wa vijana ambao ni wawakilishi  wa mabara matatu fursa makini;ili kuhakikisha Ushirikiano wa pamoja katika nyanja mbalimbali kwa kuzingatia uhusiano wa karibu kati ya vijana wa Misri na vijana wa mabara matatu  wanaoshiriki katika Udhamini huo, linaloakisi nafasi kuu ya Misri Duniani na juhudi zake za ujenzi na maendeleo,

na Sobhy aliwaomba ujumbe wa vijana waliaoshiriki katika Udhamini huo kufikisha  ujumbe wa Misri wa Usalama na Amani kwa nchi na raia wao, akiwatakia mafanikio na kurudi tena ardhi ya heri;ili kushiriki katika miradi, mipango na udhamini wa Misri wa kikanda na kimataifa.

Na matukio ya sherehe ya hitimisho ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la pili  yalihitimishwa kwa Waziri wa Vijana na Michezo Dkt. Ashraf Sobhy aliwapongeza Mabalozi walioshiriki katika sherehe hiyo pamoja na  wanahabari na waandishi wa habari walioshiriki katika Udhamini huo, na kutoa vyeti kwa wahitimu wa kundi la pili la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa na kupiga picha za ukumbusho kwa furaha kubwa ya washiriki wa Udhamini huo muhimu.

Kwa upande wake, Mratibu mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la pili " Hassan Ghazaly" alielezea kuwa Udhamini unalenga kuunda kizazi kipya cha viongozi wa vijana ambao wenye sifa za uongozi, akiongeza kuwa Hayati Kiongozi " Gamal Abd El Nasser" kama uzoefu wa binafsi na uongozi wa mabadiliko, hiyo ndiyo ni kauli iliyoidhinishwa katika Ajenda ya Afrika 2063 na pia lilielezea kuwathamini viongozi waliomaliza Ukoloni katika nchi za kiafrika kwa kile walichokitoa kwa Bara la Afrika, akiongeza kuwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ni mwendelezo wa juhudi za serikali ya Misri baada ya Urais wake wa Umoja wa Afrika mnamo 2019 katika kutekeleza jukumu lake lenye lengo la kuimarisha nafasi ya vijana wa Afrika kupitia kutoa msaada wa kila aina kama kuhimiza, mafunzo na ukarabati pamoja na kuwawezesha katika nafasi za uongozi na kupata faida kutoka uwezo na mawazo yao.

Mratibu mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ameongeza kuwa toleo la pili la udhamini huo limepanuliwa; kuwajumuisha viongozi wa vijana wa mabara ya Asia na Amerika ya Kusini pamoja na bara letu la Afrika, akielezea kuwa viongozi wa vijana 100 kutoka mabara  matatu ya Asia, Afrika na Amerika ya Kusini wanashiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa kutoka makundi yanayolengwa kama wana Maamuzi katika sekta ya umma, wahitimu wa Programu ya Wajitolea wa Umoja wa Afrika, viongozi watendaji katika sekta ya binafsi, wanaharakati wa jamii, wakuu wa mabaraza ya vijana ya kitaifa, wajumbe wa mabaraza ya kienyeji, viongozi wa vijana wa vyama, wanachama wa elimu katika vyuo vikuu, watafiti katika vituo vya Taafiti wa kimkakati na fikra, wajumbe wa ulinzi wa kikazi, wanahabari, waandishi wa habari, waongozi wa kazi za kijamii n.k.

Ni vyema kutaja kuwa, Kundi la kwanza la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa lilitekelezwa mnamo Juni 2019 kwa Uongozi wa Waziri Mkuu wa Misri Dkt. " Mostafa Madbouly" ukiwalenga viongozi wa vijana ambao w