Ziara ya Jeshi la wanamaji huko mjini Aleskandaria
vijana wanaoshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kiafrika" walifanya ziara ya ukaguzi katika kituo cha jeshi la wanamaji huko Ras El-Tin mkoani mwa Aleskandaria, ambapo walisikiliza maelezo zaidi kuhusu juhudi zinazofanywa kwa kituo cha jeshi la wanamaji, kwa ajili ya kulinda nchi.