Siku ya Maji Duniani

Siku ya Maji Duniani
Siku ya Maji Duniani

Imefasiriwa na/ Osama Mustafa 
Imeharirwa na/ Mervat Sakr 

Maji ni siri ya maisha.

Mnamo Mwaka 1992, Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira na Maendeleo (UNCED) mjini Rio de Janeiro ulipendekeza kuanzishwa kwa Siku ya Maji Safi Duniani na kutangaza maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani mnamo Machi 22 ya kila mwaka.

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa liliamua tarehe 22 Machi 1993 kuwa siku ya kwanza ya maji duniani.

Tukio hilo pia linaunga mkono kimsingi Lengo Namba 6 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, inayoshughulikia tatizo la maji na kuifanya ipatikane ulimwenguni kote ifikapo 2030.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy