Kikao cha Mazungumzo ( Mkakati wa Mabadiliko ya Dijitali wa Serekali ya Misri ) katika kikao cha siku ya kwanza

Kikao cha Mazungumzo ( Mkakati wa Mabadiliko ya Dijitali wa Serekali ya Misri ) katika kikao cha siku ya kwanza
Kikao cha Mazungumzo ( Mkakati wa Mabadiliko ya Dijitali wa Serekali ya Misri ) katika kikao cha siku ya kwanza
Kikao cha Mazungumzo ( Mkakati wa Mabadiliko ya Dijitali wa Serekali ya Misri ) katika kikao cha siku ya kwanza
Kikao cha Mazungumzo ( Mkakati wa Mabadiliko ya Dijitali wa Serekali ya Misri ) katika kikao cha siku ya kwanza

Dkt. Khaled Al_ Attar Naibu wa Waziri wa Mawasiliano Na Teknolojia wa Habari kwa Mabadiliko ya Dijitali, amezungumza katika kikao cha siku ya kwanza cha ( Udamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ) kilichokuwa na  kichwa " Mkakati wa Mabadiliko ya Kidijitali wa Serikali ya Misri"

Na Dkt. Nazar Sami Mashauri ya Uvumbuzi na Usimamizi wa Teknolojia, amesimamia kikao hicho.

Dkt.Khaled Al_ Attar Naibu wa Waziri wa Mawasiliano Na Teknolojia ya Habari kwa Mabadiliko ya Dijitali, kupitia hutuba yake katika kikao ameonyesha jukumu la serekali ya Misri ndani ya mabadiliko ya dijitali, hivyo kulingana na mfumo wa maslaha na msaada wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri  Abd_ El-Fatah El_ Sisi katika faili ya mabadiliko ya dijitali na kuunda binadamu.

Iliyochangia maendeleo ya uzoefu wa Misri katika suala hilo kuzingatia utangulizi wa serikali wa mipango mingi ya kidijitali, inayolenga kujenga binadamu ya Misri,      

Pia ameashiria kwamba nchi zote zinataka kufika maendeleo zaidi katika nyanja za mabadiliko ya dijitali na kufikia jamii zilizoendelea, zinazojishughulisha kidijitali 

 Katika nyanja mbalimbali za maisha. Ambazo zinafanikisha maendeleo na ujenzi kwa nchi za ulimwengu.

Al_ Attar ameongeza kwamba teknolojia ya akili ya bandia ni kijalizo cha akili ya binadamu na ushirikiana kati ya mashine na mtu ni jambo lazima kwa kazi yoyote, na lengo kuu la mabadiliko ya dijitali ni kuboresha maisha ya mwananchi  na kutoa huduma mbalimbali za kielektroniki kupitia njia ya kidijitali na zisizo dijitali, ni haswa kwamba kazi mnamo kipindi kijacho zitahusiana na kazi za maarifa.

Al_ Attar katika hotuba yake ameonyesha mkakati wa mabadiliko ya dijitali wa serekali ya Misri, unaolenga kuwezesha serekali , mwananchi na viwanda  kwa mwingiliano wa kidijitali kwa endelevu, kupitia serekali ya kidijitali, kiunganishwa, kishirikisha,kiendelevu inayojikita huduma ya uraia na kuongeza uwezo wa mashindano wa nchi ya kimsri kupitia kujenga habari iliyojumuishwa, akiashiria malengo ya mkakati kwa mabadiliko ya kidijitali nchini Misri, tajriba ya kimisri katika mabadiliko hayo, juhudi za Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ili kuimarisha Miundombinu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano nchini Misri,hivyo inalenga kuboresha huduma ya kidijitali taasisini mwote, inayochangia kuboresha utendaji wa Wizara na mashirika nchini Misri, kuinua ubora na utoaji wa huduma na kuboresha mazingira ya kazi, kutoa msaada kwa maamuzi na kupata suluhisho kwa maswala ya kijamii.

Al_ Attar ameongeza kwamba jaribio la serikali ya Misri katika mabadiliko ya dijitali tangu mwanzoni imeshuhudia muunganisha wa hifadhidata iliyopo Misri kwa kila mmoja katika mfumo mmoja, kufanyiwa idadi ya mifumo ya kidijitali inajumuisha mfumo wa utekelezaji sheria ili kutoa mazingira inaungana juhudi za taasisi mbalmbali, na kujenga mfumo wa mahkama utomatiki na moja unakusanya idadi kubwa zaidi ya wanaohusika na kupata haki kama Wizara ya Mambo ya Ndani, Mashtaka ya Umma, Mahkama za ngazi zote na mfumo wa afya wa kidigitali. Mkoa wa port said ni mkoa wa kwanza inatumika ndani yake mfumo kamili wa bima ya afya.

Al_ Attar mwishoni wa hotuba amewatakia na walioshiriki Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa, kujua umuhimu wa uratibu wa matumizi salama ya mitandao ya kijamii ili kuweza kuhifadhi kwa maisha binafsi na siri , na umuhimu wa kufikia upande mzuri wa mwanadamu aliyoitumia teknolojia ya kisasa na kufahamu sayansi zote na viumbo vya habari zinatoa.

Washiriki  katika Udhamini wamemuuliza  Dkt. Khaled Al_ Attar idadi za maswali ya moja kwa moja, mitazamo، majaribio, miradi na mapendekezo mbalimbali kuhusu mabadiliko ya dijitali, Picha ya ukumbusho ilipigwa pamoja na washiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa Katikati ya mwingiliano na makaribisho mazuri  kutoka kwa umati wa kikao hicho.