Taarifa Kuu

Taarifa Kuu

Eneo la kijiografia

Misri iko upande wa kaskazini mashariki mwa Bara la Afrika, na ina upanuzi wa Asia ambapo ni Rasi ya Sinai, inapakana na bahari ya kati katika upande wa kaskazini, Sudan kutoka upande wa kusini,  Bahari nyekundu kutoka upande wa mashariki, na Libya kutoka upande wa magharibi.

Ukubwa wa Ardhi : Kilomita mraba milioni 1,002.

Ukubwa wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri ilifika takriban Kilomita mraba 1,002,000 na eneo linalokua ilifika Kilomita mraba 78, 990 au 7,8% ya ukubwa wote.

Lugha:  Kiarabu ndiyo lugha rasmi ya Nchi.

Dini:  Uislamu ni dini ya Nchi.

Sarafu ya kitaifa: Paundi ya Misri.

Sarafu ya Misri ni sarafu kale zaidi katika eneo hilo, na iliitwa kama Paundini ya Misri kama Paundi ya kiingereza .

Bendera ya kitaifa: Tangu zamani sana, Bendera zilitumika kama ishara katika vita na mapigano, Na pamoja na maendeleo ya mwamko ya binadamu na kuibuka nchi ya kitaifa, Bendera iligeuka kama ishara ya nchi na ni lazima kuiheshima; kwani inaashiria uaminifu na Uzalendo kwake.

Wimbo wa kitaifa: 

Salamu za kitaifa ni kama kioo halisi cha hisia za Uzalendo na kiashirio cha kweli cha Utamaduni wa jamii.

Umoja wa Wakati: 

Unajumuisha Siria, Lebanon, Yordani, Palastina, Misri na Sudan, na uko mashariki mwa Greenwich na wakati +2 kulingana na mstari wa Greenwich .

Kairo ( +2) 

Msimbo wa Nchi: 

Msimbo wa simu ya Jamhuri ya kiarabu ya Misri ( +20) 

+20.