Waziri wa Mafuta asisitizia mtazamo wa Misri wa kuhimiza Afrika  kuhakikisha  Mabadiliko ya Usawa kwa Nishati

Waziri wa Mafuta asisitizia mtazamo wa Misri wa kuhimiza Afrika  kuhakikisha  Mabadiliko ya Usawa kwa Nishati

Tarek Almala, Waziri wa Nishati na Utajiri wa Maadini, amesisitizia mtazamo wa Misri ambayo huhimiza bara la Afrika  kuhakikisha Mabadiliko ya Usawa na linaonekana katika sekta ya Nishati, akiashiria kwamba Rais Abd El Fatah El-Sisi amesisitizia kulazimisha Misri kusaidia Afrika na kuielezea kwamba badliko adilifu la nishati ni kitu muhimu sana zaidi katika kielele cha kimataifa cha hali ya hewa cop27  ambacho Misri itakikarbisha Novemba ijayo mjini Sharm Elshikh, vile vile amesisitizia umuhimiu wa Ufadhili wa kutosha  kwa nchi za kiafrika ili kuzisaidia katika  kupambana na kubadilika kwa hali ya hewa, pia amesistizia  haki ya nchi za kiafrika kutumia vyanzo vyao vya Gesi asili na mafuta kama sehemu ya kubadilka kwa Uadilifu ili ziweze kuendelea na juhudi kuhakikisha maendeleo endelevu.

Hayo yamekuja wakati wa ushiriki wa Waziri katika "Kongamano la Uchumi na Nishati la kiafrika" ambayo umefanikiwa mkutano wa kimataifa wa Sirouk kwa nishati mjini wa kimarekani  Hutson pamoja na Ushiriki wa Mawaziri kadhaa wa nishati na mafuta katika nchi 11 za Afrika  nazo ni: cote devouir, Geunia ya Kikwete, Ghana, Kenya, Namibia, Naigeria, Afrika kusini, Tanzania, Uganda, zimabawai pamoja na Misri na Maafisa wa Wizara ya Nishati nchini Marekani na viongozi wa kampuni za Nishati na Mafuta yenye kazi katika nchi za kiafrika na Maafisa wa baadhi ya taasisi za kimataifa na za kiafrika za Ufadhili.

 

Waliohudhuria wameonesha hamu kubwa na kukaribisha na kusifu maagizo ya Rais Abd El Fatah El-Sisi kuhusu kusaidia Bara la Afrika na kuiweka mwanzoni mwa kipaumbele katika kilele cha hali ya hewa Novemba ijayo mjini Sharm Elshikh.

Walioshiriki katika Kongamano hilo wamezungumzia changamoto ambazo hupambana nchi za Afrika katika sekta ya kubadilisha Nishati licha ya mateso yanayopambana zaidi ya raia wafikapo milioni 600 ili kupata Nishati na kutegemea kwa nchi za kiafrika juu ya mafuta na gesi kama vyanzo vya kiuchumi, kweli Afrika inazingatiwa kama bara lenye matoji machache sana ya Kaboni na ni mahali ambayo haichafu hewa kwa kiwango kikubwa kushinda pote, vilevile wameashiria kwamba licha ya baadhi ya nchi za Afrika zimeweka mipango ya mabadiliko ya Nishati lakini kuna changamoto nyingi huzurotesha uchumi wa nchi za Afrika zinahusu uhaba wa kufadhili kwa fedha kwa mikakati ya mabadiliko ya Nishati,  kitakachosababisha  ugumu wa kulazimishwa kwa nyakati zilizochaguliwa kwa mujibu wa mitazamo ya kimataifa haswa aghlabu ya usaidizi wa kifedha wa mabadiliko ya Nishati mnamo miaka iliyopita umehusu bara la Asia .

Katika muktadha huo huo Mhandisi Tarek Almala amesisitizia umuhimu wa Ushirikiano kati ya pande zote kuhusu ufadhili ambayo utatolewa kwa nchi za bara ili kuzisaidia katika mpango wao wa kubadilika kwa nishati kwa mujibu wa Cop 26 akielezea kwamba kuwepo kwa taasisi za ufadhili, makampuni ya kimataifa na serkali ya Marekani pamoja na nchi za bara katika meza moja  ya mazungumzo  katika Kongamano hilo hurahisisha maelewano kuhusu Masuala ya Ufadhili.

Walioshiriki wameongeza kwamba maelezo yote yanaashiria kwamba mafuta ya chini yatabaki sehemu muhimu ya mchanganyiko wa nguvu ya kimataifa kwa muda mfupi na kuna haja ya kutekeleza mpango wa  kubadilisha nishati  Barani Afrika ambayo inazingatiwa kama bara lenye matoaji machache kushinda yote, hiki ni kiwango cha Uadilifu na sahihi mnamo kipindi cha wakati kinafaa hali za bara na kuelewa faida na umuhimu wa Haydro Carbonicskatika maisha ya kiafrika wamesisitizia umuhimu wa kupunguza Kiwango cha kaboni ili kuhakikisha uendelevu kwa vyanzo vya sekta ya Haydro Carbonics na wamesisitizia umuhimu kusisitizia tena  kulazimisha nchi zilizoendelea na taasisi za Ufadhili za kimataifa na za kikanda zitahimiza juhudi ya kuhifadhi hewa katika nchi zinazoendelea na kulazimika kwa kuharakisha kufikia nguvu isiyo chafu lazima kutekelezwa kwa kuwepo  kwa aina zote za usaidizi wa kifundi na wa kiteknolijia pia vyanzo vya Maendeleo endelevu.