Siku ya Uuguzi Duniani

Siku ya Uuguzi Duniani

Imefasiriwa na/ Geges Nagy
Imehaririwa na/ Fatma El-Sayed 

Leo Mei 12, dunia inaadhimisha Siku ya Uuguzi Duniani, kwani siku hii ilichaguliwa mwaka 1974 na Baraza la Kimataifa la Uuguzi (ICN) kusherehekea Siku ya Uuguzi kila mwaka, inayoambatana na maadhimisho ya kuzaliwa kwa Florence Nightingale, Mwanzilishi wa Uuguzi wa Kisasa.

Kila mwaka, nchi zote duniani hujiandaa kuadhimisha siku hii kwa kutambua taaluma ya kutoa na ubinadamu na juhudi za wauguzi katika mfumo wa matibabu, ambapo wauguzi hufanya zaidi ya asilimia 70 ya huduma za afya za mgonjwa.

Nawashukuru wauguzi kwa juhudi na kutoa na changamoto wanazokabiliana nazo katika kulinda maisha ya wananchi.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy