Vijana wa Udhamini wa Nasser watembelea  Makumbusho la Kiongozi Gamal Abd El Nasser

Vijana wa Afrika wanaoshiriki katika " Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika" walifanya ziara ya kuangalia ndani ya Makumbusho ya Kiongozi Gamal Abd El Nasser, ndani ya matukio ya siku ya kwanza ya Udhamini wa Nasser unaotolewa kwa Wizara (Ofisi ya vijana waafrika na idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuli "Waziri Mkuu", mnamo kipindi cha tarehe ya 8 hadi 22 Juni, 2019,kwa ushirikiano wa Umoja wa Vijana waafrika.

Mhandisi Abd El Hakim Gamal Abd El Nasser, Mwana wa kiongozi Gamal Abd El Nasser aliwapokea vijana waafrika walioshiriki katika Udhamini .Vijana hao pia waliangalia  makumbusho hayo ambayo ni pamoja na chumba cha mikutano, Saluni ya Rais, kona ya Manshiyat Al Bakri. pamoja na kona ya vitu  na Nishani kiongozi Marehemu.

Ziara hiyo ilihitimishwa kwa kikao kikubwa kuhusu  Makumbusho ya Kiongozi Marehemu Gamal Abd El Nasser, ambapo Mtafiti wa masuala ya Afrika katika Jumba hilo la makumbusho Dokta. Marwa Mmdouh alieleza haiba ya kipekee ya Gamal Abd El Nasser anayoifurahia katika bara la Afrika, pamoja na nafasi yake katika maendeleo ya nchi na nafasi yake katika harakati za ukombozi Barani Afrika akielezea sera ya kiongozi Marehemu huyo Barani Afrika.