"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan

"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan
"Ghazaly" akutana na Al-Burhan na viongozi wa mapinduzi ya Sudan

Mwanaharakati hodari "Hassan Ghazali", Mwanzilishi wa mradi wa Umoja wa Bonde la Mto Nile... Maoni ya baadaye 
Na Mwanzilishi wa Harakati ya Nasser ya Vijana, alishiriki miongoni nwa ujumbe wa viongozi mashuhuri wa taasisi na mashirika ya kiraia, wenye uzoefu wa  kidiplomasia, kitaaluma, kisiasa na vyombo vya habari vinavyohusika na masuala ya Afrika nchini Misri, akielekea Sudan, kuanzia tarehe 10 hadi 13 Mei, 2022, ili kuanzisha  mazungumzo ya  (Misri - Sudan), ambapo hiyo inatokana na hali za kisasa, na changamoto kubwa zinazowekwa na hali hizo, zinazowalazimisha wahusika wote katika hali  ya kisiasa ya Misri na Sudan kutekeleza majukumu yao waliyopewa, ili kukuza mahusiano na kuleta mitazamo ya karibu  zaidi kati ya watu hao wawili ndugu.


Katika muktadha huu, ujumbe huo ulijumuisha:  Mheshimiwa Balozi Mohamed Al-Orabi, Waziri wa zamani sana wa mambo ya nje, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mohamed Badr El-Din Zayed, Msadizi wa Waziri wa zamani sana wa mambo ya nje ya masuala ya nchi jirani, na Dkt. El-Sayed Fleifel, mjumbe wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, na Mkuu wa zamani wa Chuo cha Mafunzo ya Afrika, Dkt. Jihan Zaki, mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje katika Baraza la Wawakilishi, na mkuu wa zamani wa Chuo cha Sanaa huko Berma,DKt. Hadia Hosni Al-Saeed, mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Uratibu wa Vijana wa Vyama na Wanasiasa, Dkt. Nevin Massad, Profesa wa Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Kairo, Dkt. Sameh Fawzy, Mtafiti mkuu katika Maktaba ya  Alexandria,na Mheshimiwa Waziri Jalal El-Sawy, mtaalamu wa masuala ya uchumi, na mshauri wa zamani wa kibiashara nchini Sudan, pamoja na kundi la Waandishi wa Habari na wanataaluma wa vyombo vya habari, wakiwemo: Asmaa Al-Hussaini, mhariri mkuu wa gazeti la Al-Ahram, na mwandishi wa habari Ezzat Ibrahim, mhariri mkuu wa Al-Ahram Weekly na msemaji rasmi wa Baraza la Kitaifa la Haki za Binadamu, mwandishi na mtaalamu wa vyombo vya habari Dkt.Yasser Abdel Aziz, na mwandishi wa habari Samar Ibrahim, Mhusika wa faili la Kiafrika katika gazeti la Al-Shorouk. 

Na huku kukiwa na mapokezi makubwa kwa ujumbe wa Misri  Kutoka kwa nguvu zote za kisiasa nchini Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito, alikuwa na shauku ya kupokea ujumbe huo, akiwa na  Balozi Hossam Issa na Balozi Ahmed Adly,linaloashiria  uwazi katika maoni ya kimkakati  ya wasomi wa Misri na watu kwenye Sudan inawiana na uwazi sawa wa watu wa Sudan wenye kiwango sawa cha kina na mshikamano, na kwamba matarajio ya watu wa Sudan hayapungui kuliko matarajio ya watu wa Misri ya kujenga uhusiano mzuri na ushirikiano wa kweli wa kimkakati. 

Huku kukiwa na hali ya furaha na mapokezi makubwa, sherehe ya kupokea ujumbe wa Misri kutoka upande wa Sudan ilifanyika, ndani ya mkutano wa waandishi wa habari kwa mahudhurio ya  kundi la viongozi wa Sudan wa viongozi wakuu wa serikali, viongozi wa baraza la vijana, na watu kadhaa mashuhuri katika jamii ya Sudan, wakiwemo: Profesa Ali Shammo, Waziri wa Habari wa zamani wa Sudan, Dkt. Qassem Badri, mkuu wa Chuo Kikuu cha" Al- Ahfad", Dkt. Abdul Qader Salem, mwenyekiti  wa Muungano wa Wanamuziki, msanii wa Sudan Sherine El-Sayed, Balozi Ali Jajarin, Mwnyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Soka, Othman Mirghani, mhariri mkuu wa  gazeti la "Al -Tayyar". 

Hii ni pamoja na idadi ya wataalamu wa vyombo vya habari na waandishi wa habari, ikiwa ni pamoja na: Mwandishi wa habari Ammar Sheila, mkurugenzi wa idhaa ya Blue Nile, Lina Yacoub, mkurugenzi wa ofisi ya idhaa ya Al-Arabiya nchini Sudan, Fatima Al-Sadiq, mkurugenzi wa idhaa ya Al-Balad, Amr Abdel-Muttalib, mkuu wa Baraza la Shura la kabila la Ababda, na padri "Timo Thauth"  mwakilishi wa Kanisa la Coptic, Assem Al-Bilal, mhariri mkuu wa gazeti la "Akhbar Al-Youm", msanii wa Sudan "Hanan Blublo", mwandishi wa habari Shawky Abdel-Azim, El-Shazly Abdel- Majeed, mwenyekiti wa Klabu ya Nubian, Abdel-Baqi Jbara, mkuu wa Muungano wa Waandishi wa Habari za Kielektroniki,mwandishi wa habari Magdy Abdel Aziz, msanii wa Sudan Saif Al-Jamaa, msanii Dkt. Rashid Diab, mshairi wa Sudan Mustafa Wad Al-Mamoor. 

Katika muktadha unaoendelea, mnamo muda wa siku mbili mwezi  wa Mei, ujumbe wa Misri uliweza kufanya mikutano na nguvu zote za kisiasa na kimapinduzi za upande wa Sudan, ili kutatua mgogoro wa kisiasa wa Sudan.ambapo ujumbe huo ulianza vikao vyake vya kwanza na viongozi wa Chama cha Mapinduzi,ambacho kwa upande wake kiliweka mbele mpango wa  kutatua mgogoro huo na matatizo yake. Wajumbe hao pia walikutana na viongozi wa Baraza Kuu la Mabaraza ya Kiraia, Viongozi wa Kisufi, Kamati za Uratibu wa Mapinduzi, na wawakilishi wa Hati ya Kitaifa wa Hariri na Mabadiliko,pamoja na ziara yao kwa makao makuu ya Kanisa la Coptic la Misri, pamoja na kufanya mikutano kadhaa na mkuu wa Chuo Kikuu cha Khartoum,na wakuu wa vyuo vikuu vya Sudan, viongozi wa vyama vya wanafunzi, na mashirika ya familia za mashahidi wa mapinduzi ya Sudan, Hiyo ilitokea kujadili hali ya sasa ya Sudan, na kujadili njia za kuvuka awamu ya mpito, pamoja na kujadili njia za kukuza  mahusiano ya Misri na Sudan, na uwezekano wa kuunda fursa na nyanja mpya ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili ndugu. 

katika muktadha wa ziara ya wajumbe wa Misri kwa  Kanisa la Kiorthodoksi la Koptiki, ambalo ni mojawapo ya nyumba za Misri nje ya nchi, Ujumbe huo ulipokelewa na makasisi na mapadri katika kanisa, miongoni mwao: Anba Elia, Askofu wa Khartoum na wategemezi wake, Anba Sarapamon, Askofu wa Omdurman na wategemezi wake, na Padri Philotheos Faraj, Padri wa Kanisa la Mashahidi Wawili la Khartoum, makasisi na Mapadri na Kamati ya Kanisa la Bikira huko Khartoum na Kamati ya Kanisa la George huko Omdurman. 

Ujumbe wa Misri, wakati wa ziara yake katika Chuo Kikuu cha Khartoum, ukipokelewa na Mkuu wa Chuo hicho, ulikutana na Profesa Imad Al-Din Al-Amin Al-Taher Ardeeb, Katibu wa Masuala ya Sayansi, Profesa Adel Ali Al-Hussein,  katika ofisi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Khartoum, Ujumbe uliotembelea pia ulifanya mkutano wa mashauriano na Umoja wa Vyuo Vikuu vya Sudan, ulioandaliwa na Ukumbi wa Khader Al-Sharif wa Sekretarieti ya Masuala ya Kisayansi ya Chuo Kikuu cha Khartoum, kwa ushirikiano wa kundi la wakurugenzi wa vyuo vikuu vya Sudan, pande hizo mbili zilijadili njia za ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Khartoum na vyuo vikuu vya Misri.kikao hicho pia kilitoa mapendekezo kadhaa ya kukuza na kuendeleza mahusiano  baina ya taasisi za elimu ya juu katika nchi hizo mbili. 

Pembezoni mwa ziara hiyo, wajumbe walishiriki katika usiku wa kiutamaduni na kisanaa, katika Kituo cha Sanaa cha Rashid Diab, kitongoji cha Al-Jarif, magharibi mwa nchi, ambapo wajumbe wa  Misri walionekana kuvaa  mavazi ya kitaifa ya Sudan, ambapo wanaume walivaa jalabiya na Kofia , na huku wanawake wa ujumbe huo wakiwemo maprofesa wa vyuo vikuu na waandishi wa habari wakiwa wamepambwa na vazi la Sudan. 

Kwa upande wake, Hassan Ghazaly, Mjumbe wa ujumbe wa kiraia wa Misri, na Mwanzilishi wa Mradi wa Umoja wa Bonde la Mto Nile, Maoni ya baadaye, alitoa shukurani zake kwa upande wa Sudan kwa mapokezi mazuri,akieleza shukrani zake haswa kwa Ubalozi mdogo wa Misri na Ubalozi wa Misri mjini Khartoum kwa kuratibu ziar, na Mikutano hiyo ilikuwa katika kiwango cha juu cha usahihi na weledi, pia alisifu umuhimu wa majadiliano na mikutano iliyofanyika, akisisitiza kina, mshikamano na uimarishaji wa mahusiano  ya Misri na Sudan katika kiwango rasmi cha kidiplomasia, akibainisha kwamba kujenga mahusiano hayo kati ya nchi hizo mbili na kuyawekeza katika mfumo wa Jumuiya ya kiraia na taasisi ni kitu cha umuhimu mkubwa unaohitajika.

Ghazaly alihitimisha, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha jukumu la Jumuiya ya kiraia kama mmiliki wa mahusiano rasmi na ya kitaasisi, kwa kuzingatia jukumu kubwa la asasi za kiraia katika kukuza viunganishi vizito vya watu,akiashiria  kwamba tuko katika uhitaji mkubwa kwa  wakati huu wa  mwingiliano na mshikamano kati ya Jumuiya ya kiraia ya Misri na Jumuiya ya Sudan, na haswa kwa vile hoja hizi ni mihimili muhimu zaidi ambayo ilijadiliwa wakati wa mikutano mingi kati ya pande hizo mbili, na iliyoombwa zaidi na wawakilishi wa jamii ya Sudan, pia alisisitiza kuwa uhusiano thabiti wa kihistoria wa Misri na Sudan unaweza kuwa njia inayounga mkono miingiliano na maelewano kati ya Jumuiya za kiraia katika nchi hizo mbili.