Wanawake kwenye Ajenda ya Nasser ... Uadilifu katika haki za kiuchumi na kijamii

Wanawake kwenye Ajenda ya Nasser ... Uadilifu katika haki za kiuchumi na kijamii

Mwezi wa Machi  kwa kweli ni mwezi wa wanawake hasa wamisri . ambapo mnamo Machi 3 Gamal Abd El Nasser alitambuliwa kwa mara ya kwanza haki ya mwanamke mmisri katika kusajiliwa katika orodha za uchaguzi na kugombea kwa mabaraza ya bunge kulingana na katiba ya 1956.

Hati ya Kitaifa ya 1962, iliyosisitizwa na Gamal Abd El Nasser, inasema: "Wanawake lazima wawe sawa na wanaume, na lazima kuondoa vikwamizi vyote vinavyozuia uhuru wake ili waweze kushiriki kwa undani na kwa kweli maishani. Familia ndio kiini cha kwanza cha jamii, na lazima iwe na sababu zote za kulindwa inayoiwezesha kuwa mhifadhi wa mila ya kitaifa iliyosasishwa kwa mihimili yake, ikisonga jamii nzima na nayo kwa malengo ya mapambano ya kitaifa.jamii bure inawezekana kuunda mila na maadili mapya yasiyoathirikii na nguvu zinazoathiri sana katika jamii yetu kwa muda mrefu ; basi kwa hivyo maadili yale lazima kujionyesha ndani ya utambulishi huru wa kitaifa , unaosababisha kuwepo kwa hali ya kuhisia uzuri maishani mwa ya binadamu huru ".

Picha  ni kwa wanawake wakiwa katika maandamano ya kumsalimia Rais  Gamal Abd El Nasser, baada ya kutambuliwa haki hiyo kwa mwanamke mmisri.