Stempu ya kwanza ya posta ya Kiarabu kwa Siku ya Akina Mama

Imefasiriwa na / Mervat Sakr
Stempu ya kwanza ya posta iliyotolewa nchini Misri wakati wa "Siku ya Akina Mama" ilikuwa wakati wa enzi ya kiongozi Gamal Abdel Nasser mnamo Machi 21, 1957, na thamani yake ilikuwa millieme 10, na mara ya kwanza Siku ya Akina Mama iliadhimishwa nchini Misri ilikuwa 1956, ambapo Machi 21 ilichaguliwa kuwa Siku ya Akina Mama... Ni siku ya kwanza ya Springi kuwa ishara ya Uzuri, Utulivu na hisia nzuri... Na kutoka Misri wazo hilo lilielekea huko nchi nyingine za Kiarabu.