Balozi wa Misri huko Accra apokea mmoja wa kada wa Ghana anayeshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

Balozi Imad Hana, Balozi wa Misri huko Accra amempokea mmoja wa kada wa Ghana aliyeshiriki katika kundi la pili la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa pamoja na kauli mbiu "Ushirikiano wa Kusini-Kusini" uliotolewa kwa Wizara ya Vijana na Michezo ya Misri pamoja na Ushirikiano na Chuo cha kitaifa cha mazozezi na Wizara ya mambo ya Nje idadi kadhaa ya taasisi za kitaifa zingine, na hivyo pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri.
Wakati wa mkutano huo, Balozi Hana amesisitiza hamu ya Misri ya kuyahifadhi mawasiliano na vijana wa Afrika wanaoshiriki katika shughuli kama hizo,akisifu faida inayopatwa na vijana wa Ghana kutoka Udhamini muhimu huo, ambao ni mmojawapo ya njia za kutekeleza mpango wa Misri ya 2030 na Ajenda ya Afrika 2063 kwa mujibu wa vipengele kumi vya Shirika la mshikamano la Afrika-Asia na Hati ya Vijana wa Afrika pamoja na Ushirikiano wa Kusini-Kusini na kuwa mwafaka na Mwenendo wa Umoja wa Afrika unaolenga kuwawekeza Vijana.
Hivyo na Balozi ameeleza kwamba Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa umeanzishwa kwa mujibu wa juhudi za nchi ya Misri ili kuchangania katika kuwezesha vijana wa Afrika na kuhimiza mchango wa vijana ndani ya bara hilo yamefanikwa ili kukamilisha yaliyoanzishwa kwa Misri mnamo kipindi chake cha Urais wa Umoja wa Afrika mwaka 2019 kwa kutoa njia zote za kusaidia na kuandaa na kusomesha vijana, Udhamini huo huzingatiwa kama tokeo kwa yaliyotangazwa na Rais wa Jamhuri wakati wa shughuli za Jukwaa la Vijana Duniani katika toleo lake la pili la mwaka 2018 na la tatu mwaka 2019 kiasi kwamba ameita kutekeleza mpango wa Umoja wa Afrika 2021 ili kuwaandaa vijana Milioni moja kwa Uongozi.
Kwa upande wake mshiriki wa nchi ya Ghana na marafiki zake wakisifu Shukrani zao kwa Udhamini huo uliowezesha yeye mwenyewe na marafiki zake kupata fursa ya kuongeza uzoefu wao pamoja na kupatikana kwa njia za kusoma vitabu vya Ustaarabu kale wa Misri na miaka saba yaliyopita hapa Misri ambayo yamejazwa na ufanisi na mafanikio katika nyanja mbalimbali hayo kwa kuzuru baadhi ya miradi mikubwa ya nchi kama mji mkuu wa utawala na handaki ya Mfereji wa Suez na miradi mingine.