Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa wasimulia Dunia nzima Mafanikio ya Jeshi la Wanamaji la Misri katika kusherehekea kumbukumbu yake ya miaka 54
Mnamo Juni 2021,Wajumbe wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa walitembelea sehemu ya Raas Al Tin , makao makuu ya uongozi wa vikosi vya bahari huko Aleskandaria, ambayo yenye nguvu zaidi katika Mashariki ya Kati na Barani Afrika, pia inashika nafasi ya saba Duniani katika idadi ya meli , na inazingatiwa moja ya sehemu kale na ukubwa wa silaha za baharini Duniani, iko kaskazini mbali mwa mji wa Aleskandaria,pia ni mmoja wa mitaa muhimu zaidi na wa Historia maarufu, na ziara imekuwa rasmi na imeelezea historia ya mtaa huo na historia ya jeshi la kibahari ya Misri na vita vigumu vyake tangu miongo kadha iliyopita.
Ziara hiyo ilianza kwa mapokezi mem ya makamanda wa kituo cha jeshi la bahari huko Aleskandaria, na wakiwakarimu na kuwakaribisha wageni wa Misri walioshiriki katika Udhamini kutoka nchi 53 kutoka mabara matatu ya Asia, Afrika na Amerika ya Kusini, ukijumuisha viongozi vijana 120, wakati ambapo walitazama filamu ya maandalizi ya juu ya mafanikio ya Jeshi la bahari na silaha za kisasa zilizopatikana hivi karibuni , Na mazoezi ya pamoja kati ya Misri na nchi nyingi za ulimwengu, na filamu hiyo ikiitwa: "Jeshi la bahari ya Misri Mashujaa na Mafanikio"
Ikielezea historia ndefu ya mapambano ya wanajeshi wetu washupavu, vikosi vyetu vya kijeshi na jeshi letu la kibahari , na ushindi na ushujaa walioupata katika historia pamoja na mapitio ya maendeleo ya jeshi letu la kibahari kiufundi na kiteknolojia hadi sasa.
Ziara hiyo pia ilikuja katika kuangazia jukumu la kitaifa la serikali ya Misri na jeshi la bahari katika kuandaa wadau , pamoja na bidii yake ya kila wakati ya kujenga na kukuza uwezo wake wa kisayansi na kiteknolojia kulingana na mikakati sahihi na kwa msaada wa uwezo wa kibinafsi kupitia kwa kuandaa wadau wenye uwezo wa kibindamu na wenye uvumbuzi, maendeleo, ubunifu, kushughulika na vifaa vya kisasa na mwelekeo wa maendeleo kuelekea kukuza uwezo wa mapigano wa silaha na vifaa, kwa namna inayohakikisha uwezo wa kufikia ubora na mafanikio na usawa na teknolojia ya silaha za kimataifa, na kwa namna ambayo huongeza usalama wa baharini na kutimiza mahitaji ya kupata ulinzi wa kutosha na kulinda nguzo za usalama wa taifa la Misri na utulivu katika eneo hilo.
Leo, tarehe Oktoba 21, Vikosi vya Jeshi vinasherehekea kumbukumbu ya miaka hamsini na mbili (52) ya Jeshi la bahari kwa ajili ya kumbukumbu kuu na kazi ya kishujaa iliyofanywa na wanajeshi wa Jeshi la bahari ya Misri. ambapo vikosi wa bahari wamisri walitekeleza wajibu wao kwa kuonyesha uwepo wa meli iliyo hatari zaidi wakati huo inayoitwa Eilat , inatembea baharini kwenye maji ya taifa la Misri ili kuonesha nguvu yake bila haki , na mara moja viongozi wa Misri wa kisiasa wakashika na wakachukua fursa hiyo na wakatoa maagizo ambayo askari wetu shujaa walikuwa wakingojea kila wakati kwa kutekeleza shambulio la uharibifu Eilat, na ilishazamishwa mnamo Oktoba 21, 1967 wiki kadhaa baada ya vita vya 1967 operesheni hiyo ya kishujaa liyochangia kurejesha Imani ya Wamisri kwa vikosi wao wa kijeshi na uwezo wao katika muda mfupi, na vitendo vingi vya kishujaa vilifuata wakati wa vita vya Dunia na vita vya Oktoba, ambayo ilibadilisha mitazamo na mikakati ya vita vya majini vya kisasa.
Ikumbukwe kwamba Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa, ukiwa na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El-Sisi, unalenga kuhamisha jaribio la Misri katika kujenga taasisi za kitaifa, na kuunganisha viongozi vijana wenye ushawishi mkubwa zaidi katika mabara matatu (Afrika - Asia - Amerika ya Kusini) na kuwaunga mkono kupitia mafunzo, ujuzi muhimu na maoni ya mikakati na mara yake ya pili ilichukua kauli mbiu Ushirikiano wa Kusini ikiwa ni rejeleo; kukuza Ushirikiano wa Maendeleo kati ya nchi za Kusini katika nyanja za kisiasa au kiuchumi au kijamii au kiutamaduni au kimazingira au kiufundi, pamoja na kubadilishana maarifa, ujuzi, uwezo wa kielimu ,masuluhisho na teknolojia, ambayo ni uwanja wa mshikamano kati ya wananchi na nchi za Kusini, inayochangia kufikia ustawi wa kitaifa na kujitegemea kikamilifu.