Wahitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa wazindua vipindi vya Maelezo vya mabara kwa kundi la tatu
Wahitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa unaoongozwa kwa Wizara ya Vijana na Michezo ya Misri tangu mwanzo wa kusajili ndani yake, waliandaa karibu na vipindi vitatu vya maarifa kwa ushiriki wa japo la viongozi wa vijana wa mabara matatu: Asia, Afrika, na Amerika ya Kusini, ambapo vikao hivyo vilijumuisha vikao viwili kwa kiarabu, ambapo wazungumzaji walivishiriki kutoka nchi za kiarabu na Afrika, miongoni mwake ni Sudan, Tunisia,Libya, Moroko, Iraq, Jordan, Chad, Saudi Arabia na Misri pamoja na kingine kwa kiingereza ambapo washiriki wengine walikishiriki kutoka Afghanistan, Colombia,Brazil,Pakistan, na Cote d' lvoire.
Mratibu wa vikao vya maarifa, mjumbe wa timu ya vyombo vya habari vya kimataifa katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa bwana wa Libya " Al_Zubair Al_ Barki" alielezea fahari yake kwa ujio mkubwa kwa Udhamini na maoni makubwa na yenye hamasa kuhusu mfumo na mbinu kitaalamu na za hali ya juu ambazo zikitekelezwa kwa udhamini wakati wa maandalizi yake ya kupokea kundi la tatu na kuitikia kwa haraka kwa maswali ya waombaji, akinukulia mapendekezo yao kwa kupatikana nafasi kwa vijana kwa kuchukua idadi kubwa katika Udhamini mwaka huu, matarajio yao ya kuongeza muda wa usajili wa kundi la tatu la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ambao uko pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais.
Wazungumzaji wa nchi zinazoshiriki katika vikao vya maarifa ambao ni miongoni mwa wahitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa walipongeza nafasi kubwa ya Misri kama ujenzi mkubwa wa taasisi, uongozi wa kisiasa na kidiplomasia ambao wenye makini na stadi, wanaweza kuhamisha taswira ya nchi yao kwa makini, wakisisitiza kuwa wanaweza kuishi hii kwa karibu kupitia mikutano yao mingi na wanadiplomasia,wafanyi uamuzi na mawaziri katika muktadha wa ushiriki wao katika udhamini na hawajakuwa na matarajio au maarifa kuwa Misri ina nafasi hiyo ya maendeleo, stadi na upangaji.
Ni vyema kutajwa kuwa, Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ni kama moja ya njia ya utekelezaji; ili kuonyesha uzoefu wa Misri katika kujenga taasisi za kitaifa kama mfano bora, ambapo toleo lake la kwanza lilizindua mnamo Juni 19,2019; ili ukawa udhamini wa Afrika_ Afrika wakati wa uongozi wa Misri wa Umoja wa Afrika, pamoja na uongozi wa Baraza cha mawaziri kisha ulipanua katika toleo lake la pili; ili kujumuisha mabara matatu: Afrika, Asia, Amerika ya Kusini kwa kauli mbiu ( Ushirikiano wa Kusini_ Kusini) pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El Sisi, mnamo Juni 2021 na sasa unaandaa kuzindua toleo lake la tatu kwa kauli mbiu ( Vijana wa kutofungamana kwa upande wowote na Ushirikiano wa Kusini_ Kusini) mnamo Juni ijayo, 2022 kwa Ufadhili wa Rais wa Jamhuri kwa mara ya pili mfululizo.