Mwanzilishi wa Harakati na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa aingia Kwenye Orodha ya Mwisho ya Tuzo ya African Rising
Imetafsiriwa na: Menna Abdullah Mohamed
Imehaririwa na: Mervat Sakr
Mratibu wa Lugha ya Kiswahili: Mervat Sakr
Kijana wa Misri Hassan Ghazaly alifikia hatua ya mwisho ya kufuzu kwa "Tuzo ya Ukuzaji wa Waafrika", na Ghazaly alipendekeza Scholarship ya Nasser mnamo mwaka 2016, lakini ilijitokeza chini ya Ufadhili wa Baraza la Mawaziri mnamo mwaka 2019, ikiambatana na urais wa Misri wa Umoja wa Afrika, iliyofuatiwa na kuanzishwa kwa Harakati ya Nasser kwa Vijana kwenye nchi za Afrika na Latin, na kundi la pili linapaswa kuzinduliwa chini ya Ufadhili ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Misri.
Tuzo ya Ukuzaji wa Afrika ni tuzo muhimu zaidi iliyozinduliwa na Harakati ya Kuongezeka kwa Waafrika mnamo mwaka 2020 ili kuonyesha viongozi wa vijana wanaofanya kazi kati ya jamii za Kiafrika.
Njia ya kupiga kura katika hatua zifuatazo Mgombea anayeshinda anachaguliwa kupitia kupiga kura moja kwa moja kwenye tovuti ya tuzo, kupiga kura kunafungwa mnamo tarehe Februari 2, 2021.
1- Bonyeza kwenye kiungo hiki https://buff.ly/38WTzsg
2- Tembeza chini ukurasa na bonyeza jina la mgombea Hassan Ghazaly.
3- Nenda nyuma ya ukurasa na uandike jina lako, barua pepe, nambari ya simu, nchi na uandike kwenye sehemu zilizotengwa kwa hiyo ili kuhakikisha uwazi wa kupiga kura.
4. Utaulizwa ikiwa wewe ni mwanachama wa Africanans Rising (tafadhali jibu ndiyo au hapana).
Lazima uwe mwanachama wa Africanans Rising kupiga kura katika tuzo.
5. Utaalikwa kuwa mwanachama wa Africanans Rising ili uweze kupiga kura tafadhali jibu ndiyo.
6. Itaeleweka wazi kwamba unapaswa kusoma na kupitia Azimio la Kilimanjaro. Tafadhali jibu kwamba umesoma tangazo.
7- Angalia sanduku linalothibitisha kuwa umesoma hali ya kupiga kura, kisha bonyeza neno "kura".
Zaidi kuhusu tuzo:
https://www.africans-rising.org/activismawards/
Kuhusu wasifu wa Hassan Ghazaly:
https://africansrising.org/2020-africans-rising-activist.../