Taasisi ya Kitaifa ya kiutawala yazindua Programu ya mafunzo kwa maafisa wa ndani nchini Misri na Afrika 

Taasisi ya Kitaifa ya kiutawala yazindua Programu ya mafunzo kwa maafisa wa ndani nchini Misri na Afrika 

Taasisi ya Kitaifa ya kiutawala  na kimaendeleo endelevu, idara kikuu ya kutoa Mafunzo kwa Wizara ya Upangaji na Maendeleo ya kiuchumi ilitoa Toleo la tatu kutoka programu ya mafunzo “ Serikali na maendeleo  endelevu na athari zao juu ya utendaji na malengo ya Taasisi” kwa maafisa wa ndani nchini Misri na nchi za kiafrika na maafisa kutoka viziwi na babu ndani  ya nchi. 

Dokta Sherifa Sherif aliashiria kwamba programu hiyo ya mafunzo inalenga ufafanuzi wa dhana ya maendeleo endelevu na malengo yake, Ajenda ya maendeleo endelevu ya kiafrika 2063 kupitia ufafanuzi wa dhana ya mipango ya mikakati na usimamizi kwa malengo na uhusiano wa maendeleo endelevu na kufikisha malengo ya Taasisi, kadhalika ufafanuzi wa dhana ya serikali , malengo yake na kanuni zake, jukumu lake katika kuboresha utendaji kupitia utekelezaji wa kanuni na taratibu nyingi za serikali zinazotumia katika kuboresha utendaji pia ufafanuzi wa dhana ya utendaji na usimamizi wake na mambo yanayoathiri , mikakati ya kuboresha utendaji .

Kwa upande wake Dokta Hanan Rizk, Mkuu wa mfumo wa mafunzo kwa taasisi za usimamizi Barani Afrika “ maendeleo ” wakati wa mkutano wa ufunguzi, alionesha "ukuaji wa programu ya serikali na maendeleo endelevu na athari zake , juu ya utendaji na malengo ya Taasisi" akiashiria  mafunzo yanayotolewa na taasisi hiyo kwa ndugu waafrika haswa katika nyanja za maendeleo endelevu na programu za kutekeleza mifumo ya Serikali, akieleza kwamba wazo la Uelekezaji wa programu kwa ndani linategemea kwamba washiriki wa maendeleo lazima wawe miongoni mwao maafisa ya ndani , na  toleo la kwanza la programu lilikuwa  kwa nchi za kiafrika , kisha toleo la pili lilikuja kwa ushiriki wa wamisri nalo lilifanikiwa kutokana na kutegemea umuhimu wa kubadilisha uzoefu kati ya nchi zote pamoja na kufanana changamoto katika nchi mbalimbali , akiongeza kwamba toleo la tatu linajumuisha ushiriki wa Misri na nchi mbalimbali za Afrika pia ( online ) pamoja na maafisa wa ndani kutoka viziwi na babu ( kuwepo kwa moja kwa moja ) akisisitiza kwamba kundi hilo ni mshiriki mkuu katika maendeleo na ushiriki wao unakuja katika mfumo wa lengo la kutoacha mtu yeyote akichelewa kwa Maendeleo.

Inaashiria kwamba programu hiyo ya mafunzo huelezwa kwa lugha mbili za kiingereza na kiarabu na inalengo maafisa 22 wa serikali wa jinsia zote mbili kati ya umri wa miaka 25 hadi 45 wanaofanyakazi katika shughuli mbalimbali za usimamizi katika vitengo vya mitaa ambao kazi zao zinahusiana na kubuni na utekelezaji miradi ya maendeleo endelevu ndani ya nchi katika sekta mbalimbali na wanafahamu lugha za programu , programu hiyo ya mafunzo inalenga pia idadi ya watu wenye ulemavu wa kusikia .