Taarifa za Rais Gamal Abdel Nasser Katika Kolkata Huko Nchini India mnamo Mwaka wa 1955

Taarifa za Rais Gamal Abdel Nasser Katika Kolkata Huko Nchini India mnamo Mwaka wa 1955

Imetafsiriwa na/ Amira Roshdy
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled  

Misri yapinga Ushirika wa Nchi Kuu kwa ukali, katika utaratibu wowote unaochukuliwa na nchi za kiarabu au nchi za Mashariki ya Kati kufikia Amani yake.

Misri yakataa uwepo wa misingi ya kigeni katika mahali popote katika Mashariki ya Kati, na vilevile haiwezi kutarajia kuwa  Misri inaunga mkono  masuala ya nchi kuu au siasa zake.

Nadhani inawezekana kuanzisha mfumo kwa ulinzi utakaofanyiwa na nchi za eneo hilo zinazotilia manani suala hilo kwa pekee yake,  bila uingiliaji wowote wa kigeni; ambapo uingiliaji unaochukuliwa kama aina nyingine ya ukoloni.

Muungano wa Ulinzi wa Kiarabu hautaalika nchi yoyote ya kigeni kuingiza ndani yake.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy