Siku ya Afya Duniani

Siku ya Afya Duniani

Imetafsiriwa na/ Rahma Ragab
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled 

Ujumbe wa kushukuru sana kwa wafanyakazi wa sekta ya kiafya ambao ni Madaktari, Wauguzi na Wahudumu wa Afya wanaofanya Jukumu muhimu sana kwenye awamu hiyo iliyo muhimu. 

Ulimwengu washerehekea Siku ya Afya Duniani kila mwaka, Aprili 7, ambayo ni siku ileile ya kuanzisha Shirika la Afya Duniani mnamo mwaka wa 1958, na siku hiyo imechaguliwa ili kuadhimisha Siku ya Kuanzisha Shirika hilo, na kila mwaka suala moja tu la kiafya lachaguliwa ili lijadiliwe, hayo pamoja na kampeni za uhamasishaji Kampeni za zinazofanywa na mashirika ya kiafya.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy