" Al-Tayeb"Mhitimu wa Udhamini wa Nasser ashiriki katika Mfumo wa Uigaji wa Umoja wa Ulaya huko Tanzania akiwakilisha Sudan
Mhandisi" Ayman Al_ Tayeb" ni Mhitimu wa Kundi la Pili wa Udhamini wa Naser kwa Uongozi wa Kimataifa, ameshiriki katika Mfumo wa Uigaji wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania kwa muda kuanzia tarehe 23 Agosti hadi 27 Agosti hii, akiwakilisha nafasi ya mkuu wa ujumbe wa Denimaki ndani ya Mfumo huo,ambapo inafanyiwa kati ya nchi zinazoshiriki katika njia ya kuiga ili kuonyesha maswala ya kimataifa kwenye eneo la tukio, kwa nchi zote wanachama wa Muungano, na kujaribu kutafuta masuluhisho kwao.
" Al tayeb " Alihitimu Kutoka Kitivo cha Uhandisi,Kitengo cha Umeme, Chuo Kikuu cha Al_ Sudan cha Sayansi na Teknolojia ya mwaka 2014.
Kupitia masomo yake alijiunga na kozi na programu nyinigi za ndani na za kimataifa hizo ni miongoni mwake kuwakilisha Jamhuri ya Sudan, katika programu " YALI" Kwa Uongozi wa Kimataifa huko Kenya, Nairobi mnamo 2013,baada ya kumaliza masomo alijiunga na masomo ya Uzamili, akapata shahada ya Uzamili ya Umeme kutoka Chuo Kikuu cha "lango" nchini China mnamo 2019, naye ni Mwanachama wa zamani wa Chuo Kikuu kama Profesa Msaidizi kitivoni mwa Uhandisi .... pamoja na kazi yake ya sasa kama katibu wa Waziri wa Vijana na Michezo ya Shirikisho.
Pia Al-Taib anazingatiwa miongoni mwao viongozi vijana muhimu zaidi ndani ya jamii ya Sudan, ambapo mwenendo wake wa shughuli za kijamii ulianza tangu 2013, alifanya kazi kama Mkurugenzi wa Ofisi ya Mafunzo na Maendeleo ya Taasisi ya Heri ya Kuwasadia wagonjwa huko Sudan, kisha Mkurugenzi wa Ofisi ya Vyombo vya habari na Mahusiano ya Nje ndani ya Taasisi hiyo hiyo, baadaye akashika nafasi ya Naibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kijamii ndani ya Taasisi hiyo hiyo,pamoja na kazi yake baada ya hivyo kama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Universal kwa Mafunzo, kuboresha Maendeleo ya Binadamu, na Ujasiriamali.
Ikumbukwe kwamba udhamini wa Naser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la pili uliofanyika Juni 2021 nchini Misri na ulikuwa unalenga uongozi wa vijana 120 kutoka viongozi watendaji wenye taaluma tofauti wa mabara matatu nayo ni Asia, Afrika na Amereka ya kusini " kilatini" ha hivyo kwa Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd_ El Fatah El_ Sisi, Rais wa Jamhuri.