Mkutano wa pili kwa nchi zisizofungamana kwa upande wowote mjini Kairo

Mkutano wa pili kwa nchi zisizofungamana na upande wowote siku 5 Octoba mwaka 1964, kwa kuhudhuria wafalme na Marais 58 , lakini kuhudhuria kwa waziri mkuu wa Kongo ya Kidemokrasia Chompi kinakuwa tatizo kwa washirki wengi katika mkutano Kwa sbabu watu wengi wanakataa kukaa pamoja nawe ; Kwa sbabu Chompi ni mtuhimwa kwa kumuua Lumumba ambaye ni shujaa wa harkati ya ukombozi wa kimataifa nchini Kongo , pia alimuua Hamrshld ambaye ni katibu wa zamani kwa Umoja wa Mataifa , na Rais wa Algeria Ahmed bn Bela alisema "Chompi ni mkoloni mkubwa , na anafungamana kwa Kila mambo ambayo wanayakataa .
Rais wa Yogoslavia Tito, Rais wa Algeria Ahmed bn Bela na Rais wa Misri Gamal Abdel Nasser walikutana nyumbani mwa Rais wa Jamhuri wanashauriana, mwishoni waliamua kutumia barua kwa Kazafobo ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Kongo walimambia hawakutaka Chompi , kwa sbabu lazima mkutano uko mbali na vikwazo visivyo vya lazima vinazuia mwendo wake wa kawaida .