Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser kutoka Idhaa kwa maadhimisho ya KumbuKumbu ya Uhuru wa Syria 1958

Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser kutoka Idhaa kwa maadhimisho ya KumbuKumbu ya Uhuru wa Syria 1958

 Enyi wananchi

  Siku ya Uhuru wa Syria yashikilia umuhimu mkubwa sana katika historia ya mwito mtukufu unaoenea ndani ya eneo letu leo; nao ni mwito wa Umoja , Nguvu na Uhai.

 Pia siku hiyo imekuwa kilele kikubwa katika historia ya mapambano ya watu wa Syria, ambapo watu hao wakuu waliweza kupitia hicho kujua pande zote za upeo, hawajali siku zake zilizopita na wanaatazama mustakbali wao  ,basi wanajifunza Jaribio jipya na kuelewa kutoka jana na kuhifadhi utashi na tumaini kwa siku za usoni .

Enyi wananchi

 Umuhimu mkubwa kwa siku ya Uhuru wa Syria umekuwa kwamba Watu wake walijijua wenyewe, waligundua uwezo wao na talanta zao , na waliamua kuwa kuyajitolea yote; kufikia matumaini yake katika Umoja mkubwa wa Kiarabu , pia agano ambalo lililoahidiwa na Syria ikiinua bendera  ya Uhuru katika siku ya Uhuru umekuwa kwamba haiinui juu ya bendera hiyo ila bendera Moja, nayo ni bendera ya Umoja , pia maana ya ajabu ndani ya ahadi hiyo ni Uomja hauwezi kuwa ila ikiwa uhuru ulikuwa kabla yake, na tumaini kubwa la Waarabu haliwezi kutimiza ila ikiwa Waarabu wanakomboa kutoka kwa Ukoloni huo mbaya na Utawala wake ; sawa na Utawala mbaya au Utawala mzuri .

Enyi wananchi

 Hiyo ndiyo ilikuwa umuhimu kubwa katika siku ya Uhuru wa Syria, pia Syria mnamo siku hiyo imewahi kuwa matumaini ya watu hayawezi kuwa msaada kutoka kwa nchi yenye nguvu, pia mnano siku hiyo Syria iliwahi kwamba matumaini makubwa hayawezi kuwa yanahusiana ahadi zinazofanyawa mbele na huduma zinazofanyawa ; bali matakwa ya watu yanatimizwa na utashi wao , pia utashi wake wana uwezo unaweza kufanya matumaini yake makubwa basi haki inaombwa kwani ni haki , pia ikiwa haki ilibadilika kwa msaada au ruzuku kutoka mtu mwenye nguvu kwa mtu dhaifu; inasabibishwa kupoteza haki na heshima yake .

  Kwa hivyo watu wa Syria waliwahi hayo yote mnamo siku ya Uhuru, wakaahidi kufanya juu chini kwa Umoja wa kijiamini na wakitia Moyo.

  Enyi wananchi

  Watu wa Syria baada ya ukombozi walizindua Kwa vita vyake muhimu kwa ajili ya Umoja ,eakiambatana na yoyote makubwa ambayo shujaa yeyote angeweza kuwa nayo kama lengo wazi, kuimani Kwa suala hilo, kujiamini, pia lazima kushinda ni jibu kwa hatima , vilevile kutokana na Ushindi kamili kwa watu wa Syria na Wamisri ambao waliupatia mnamo muda mchache ni kuanzishwa Jamhuri ya Muungano wa Kiarabu .

Enyi wananchi

 Kwa hivyo , ilisisitiziwa kuwa masuala ya kiarabu hayawezi kuwa mbali kuhusu miji ya kiarabu , pia ilisisitiziwa kwamba thamani ya nchi yoyote Duniani nzima haiainishwi kwa nafasi yake kutoka ardhi , na si idadi ya Wakazi ndani ya mipaka yake, bali thamani ya nchi yoyote inaainisha kwa kuamini wanawe Kwa haki zao na kuwajiandaa kufanya kazi dhati Kwa ajili ya heshima kwa maadili yote  wanayoyaamini pia mapambano yetu yameweza kuthibiti hakuna nchi dhaifu Duniani , pia mapambano yetu yaliweza kuthibiti udhalimu unaweza kufanyawa Kwa unyonge , pia kukataa tama kunaleta udhalimu, hiyo ndiyo mantiki chanya kwa maisha , na bila ya hiyo maisha hayapo.

 Enyi wananchi

 Watu wetu _ watu Waarabu wote _ wameelewa mantiki hiyo na kuiwahi , maadili katika historia yetu yamekuwa suala wazi sana , pia kwa sababu ya uelewa huo na ufahamu haufiki kwa baadhi ya watu , lakini watu wenye hisia zake nzuri, uwazi na dhamiri zake uhuru kutoka kwa matakwa , wamehifadhi maadili ya historia yake , na wametenda kwa  na uwazi na uaminifu kisha siku ya kuhakiksha Umoja mkubwa unakaribia sana nasi.

 Enyi wananchi

 Maombi yetu katika sikukuu hiyo yawe kuwa bendera za ukombozi yanainua katika Kila nchi ya kiarabu , basi bendera za ukombozi yanaonesha kwa bendera za Umoja .

Enyi wananchi

 Jamhuri ya Muungano wa Kiarabu hiyo ambayo iilitukusanya chini ya bendera yake Uhuru Mwenyezi Mungu ifanye mwelekeo kwa Waarabu wote , ngome , makazi na msaada kwao pia .

 Al-Salaam Alaikum warahmat Allah.