Kwa kusherehekea Tukio la Siku ya Wanawake Duniani

Kwa kusherehekea Tukio la Siku ya Wanawake Duniani

Mnapaswa kujua kuwa Gamal Abd El Nasser ndiye wa kwanza aliyewapa wanawake haki ya kupiga kura katika uchaguzi, pia haki ya kugombea  kwa uchaguzi , na zama yake ilishuhudia, kwa mara ya kwanza katika historia ya Misri, kuwepo kwa wanawake Bungeni na uteuzi wa Mwanamke kama Waziri kwa mara ya kwanza katika historia.

 Uzoefu wa  Harakati ya Nasser pia ulishuhudia upanuzi mkubwa zaidi wa kuwafundisha wanawake na kutoa ajira  kwao huko Misri, pia Usawa kati ya wanaume na wanawake katika haki zote na majukumu katika Elimu, Kazi na mbele ya Kanuni