Lumumba " kiongozi wa jamhuri ya Kongo ya demokrasia"

Lumumba " kiongozi wa jamhuri ya Kongo ya demokrasia"
لومومبا
Lumpuba amabye bwana Abd Elnasser amelia juu yake, na bwana Giffara amemsifu kama Shahidi wa Umma.
• Hakuwa kama vijana wenzake, basi yeye amesahau maisha yake mbele ya suala la nchi yake, akitafutia Uhuru wake;na kwani yeye asiyefanana na mwengine aliweza kuondoa ukoloni uliobaki zaidi ya miaka Thamanini"80", basi nchi nyingi za kizungu zimeshirikiana pamoja ili kuua kiongozi yule, kwa hiyo aliuawa kwa risasi ya rafiki yake karibu.
• Batris Lumpuba, kiongozi mwafrika toka wananchi wa kawaida, alizaliwa katika mwaka wa 1925,na amelewa katika familia yenye hali ya wastani, kazi ya babake katika kufundisha imempa nafasi ya kujifunza pamoja na wenzake wadogo, wakati ambapo ukoloni wa kibelgiji ulikataza elimu kwa watu wa kawaida, na kupitia kazi yake alipata njia zote za ubaguzi na utenganisho kati ya wakoloni na wananchi, lililosababisha kutekesa hisia zake za kitaifa, naye amehangaika ili kuunganisha nguvu za nchi na makabila ya kikongo yakiomba uhuru.
•lumpuba amepambana na ukoloni wa kibelgiji, ameanzisha harakati ya kitaifa mwaka wa 1958,nayo ilikuwa ya kisiasa yenye nguvu zaidi nchini Kongo, naye amepata umaarufu mkubwa sana, na ameongoza mapambano mengi dhidi ya ukoloni wa kibelgiji, lililosababisha kumkamata kwa miezi sita, na ameachiwa kwa sababu ya mafanikio ya majadiliano yaliyofanyikaa katika Broxsl yakizungumzia Mustakbali ya Kongo, wakati ambapo ameamua kutoa wakati wake kwa kazi ya kisiasa, na Ushirikiano wake katika mkutano wa AKRA ilikuwa kama cheti kipya cha kuzaliwa kwake, ambapo mkutano huu ulikuwa hatua ya msingi ya kuanzisha shirikisho la umoja wa kiafrika, kama kuwepo kwake kwa kwanza katika uwanja wa kiafrika, linalofuatia kwamba pamoja na Ujasiri na Werevu wake, ameweza kuonyesha suala la ukombozi wa nchi zake, matatizo na mahitaji ya nchi yake kwenye mikutano ya kikanda na kimataifa, na kwa sababu hiyo alikamatwa tena mwaka wa 1959.
• katika mwezi wa Mei mwaka wa 1960,zaidi ya vyama Mia moja vilishindana ndani ya uchaguzi uliofanyikwa, na harakati ya kitaifa kwa uongozi wa Lumpuba imeshinda, na Ubelgiji iliyotawala nchi ilijaribu kuficha Tija, na kupa utawala kwa mshirika wake " Jossef Alio", lakini utashi wa nchi uliilazimisha kumfanya Lumpuba kutengeneza serikali.
• na serikali ya kwanza ya Kongo iliyochaguliwa ilitengenezwa tarehe ya 23 mwezi wa Juni mwaka wa 1960, na kwa njia rasmi mfalme wa Ubelgiji ameacha utawala, na mnamo sherehe ya kupata utawala ulitokea mgogoro wa kisiasa, ambapo Lumpuba ametoa Hotuba kali mbele ya wabelgiji kwa inwani ya ( machozi, damu, na moto) , amezungumzia maumivu ya Kongo, dhuluma na mateso waliyoyapata; lililoghadhibisha Ubelgiji, Kongo haipata utulivu zaidi ya wiki mbili, iliingia katika mfululizo wa migogoro kama Uasi wa kijeshi, utenganisho wa baadhi ya nchi, na matatizo ya kazi, ambapo Ubelgiji imesisimua "Chumbi" ambaye ni kiongozi wa nchi ya Katanga ambapo hukuwepo rasilimali zote za Kongo ili kutenga, basi Lumpuba ameomba toka Umoja wa mataifa kupeleka nguvu ya kitaifa ili kulinda kanuni, kwa lengo la kuzuia Ubelgiji kutawala nchi yake, na amepigia simu" Abd Elnasser, Nikroma, na Sikotori" akiwaita kuchangia katika vikosi vya kitaifa, wakati ambapo HAMSHLED ambaye ni katibu mkuu wa umoja wa mataifa amepeleka ujumbe wa Abd Elnasser, akimwita Ushirikiano wa Misri katika vikosi vya kitaifa, hakusitasita kamwe bali amepeleka kundi la maaskari wa miavuli kwa uongozi wa Kanali Saad Eldeen Elshazly aliyekuwa rais wa vikosi wenye silaha katika vita ya oktoba mwaka wa 1973.
• baada ya hayo matukio yaliendelea, ambapo serikali ya lumpuba iliondoshwa na 'Mobotu'' rais wa vikosi' amepata utawala mwaka wa 1961 mnamo mapinduzi ya kijeshi, amewakamata Lumpuba na wawili toka marafiki zake muhimu, na amewahamisha kwa gereza la Kibelgiji katika tarehe ya 17, mwezi wa kwanza, mwaka wa 1961,Chumbi amewaua kwa kurusha risasi, Abd Elnasser amejua habari ya mauaji yake jioni ya 12 mwezi wa pili, naye aliyesisitisha habari hiyo kwa ulimwengu, na ametangaza kwamba familia ya Lumpuba ipo chini ya ulinzi wa umoja wa falme za kiarabu, amefanya Bima ya miliki zote za kibelgiji nchini Misri likiwemo jumbo la Umoja.
• baada ya mauaji ya Lumpuba, Saad Eldeen Elshazly amepanga katiba kuu mbili, na ameziweka katika uwanja wa ndege, akizizingatia toka vikosi vya umoja wa mataifa, ambapo Misri hushirikisha ili kuwaokoa watoto wa Lumpuba, na kuwasaidia kuja Misri, na Abd Elnasser amewaangalia na kuwafundisha Lugha ya kiarabu.
• na bwana Hekal amesema:" Gamal Abd Elnasser ameathirika sana kwa mauaji ya Lumpuba, na amebadilishana barua zinazohusu jambo hilo pamoja na ( Khorshof), ( Nehro), ( Tito), ( Hamrshled), na amelaumu ( Hamrshled) sana, basi yeye amezingatia Lumpuba ameuawa ambapo kuwepo umoja wa mataifa, bali kuwepo kwake kumetumiwa vizuri kwa uhalifu mbaya ulioathiri Afrika yote, na ameandika barua kali kwa( Nikroma) akisema:" naishi Masiku marefu pamoja na machozi, na nahisi Moto moyoni mwangu ninapokumbuka kwamba vikosi vyetu vilikuwa pamoja na umoja wa mataifa, na Uhuru ambao tulienda ili kuulinda, aliuawa toka msaada wetu.