Rasilimali asili ambazo tunaimiliki, ikiwa tunatumia vizuri, nafasi ya waarabu inawezekana kuinua

Rasilimali asili ambazo tunaimiliki, ikiwa tunatumia vizuri, nafasi ya waarabu inawezekana kuinua

Imefasiriwa na / Nourhan Khaled Eid

Wana wa Syria na Lebanon

Nina furaha ya mkutano huu, ningependa kuwa mkutano huu kabla ya hivyo, lakini siwezi kutuzuia kutoka kwa kujua nchi ya Misri na maendeleo yake, bila shaka kuna idadi kubwa  miongoni mwenu hapa wanakuja Misri kwa mara ya kwanza, bila shaka pia mnahisi upendo, ukarimu na Shukrani zifaazo kwenu kama vijana wanawakilisha fahari ya Taifa la Kiarabu, bila shaka mambo hayo hayapimwi kwa hisia za wamisri kwa waarabu wote, bila shaka pia nyinyi mmehisi hisia hizo, na nyinyi ndio kizazi kitakachojenga mwamko wa Waarabu na tumaini linalowaongoza Waarabu wote. 

Tunapaswa tuhisi fahari na heshima, na hayo kupitia kujiamini sisi sote binafsi, tena kuamini ni ishara ya kwanza ya mafanikio, kwa hivyo lazima tupige itikadi hii, kwani enzi hii siyo kwa kushindwa, na hata siyo kwa udhaifu, lakini ni kwa nguvu, nguvu hii itakuwa baada ya kushikilia kujiamini, ni nguzo ya kwanza iliyo tunaweza kuwashinda wageni.     


Na kuna fahamu potofu inasema kuwa: Misri haina roho ya kiarabu, na hiyo uongo kabisa, na nyinyi mlihisi uongo wa usemi huo wakati wa ziara yenu fupi,  na dalili ya hiyo kuwa mimi nilipokuwa kijana hisia yangu daima ilielekea kwa waarabu, sio kwa ulaya kabisa,na hiyo katika maoni yangu sio kwa nia ya kutangaza au kupotosha, kwani tunahisi maelewano hayo pia , nyinyi mnaweza kuhisi hizo kupitia ziara fupi hiyo, na kitu kingine naweza kuambia katika wakati huu, ni kuwa chanzo cha nguvu yetu ni utaifa wetu;kwani utaifa wetu ndio silaha kubwa zaidi mikononi mwetu, na daima tunapigana kulinda utaifa wetu, na hata Palestina imepoteza utaifa wake, na hatuna budi kuilinda hatari hii inayotutishia sote.Lazima tuisikie na kuiamini, la sivyo tutatembea kuelekea kwenye njia ya maangamizi.Juhudi lazima ziungane kwa ajili ya nguvu azizi ya Waarabu sasa mzigo mkubwa unatuzungukia sisi sote haswa nchi zilizopata uhuru wao, Syria na Lebanon zinatakiwa kufanya kazi ya kulinda uhuru wao na kulinda uhuru wa wengine imani hii iko shingoni mwa vijana lakini mzigo katika shingo yetu sote. Na jambo ambalo ni lazima tujiona na kuliweka pahali pa kipaumbile , ambalo ni eneo letu la kimkakati , na eneo hili lilikuwa moja ya sababu za udhaifu wetu, kazi na utawala wetu juu yetu huko wakati wa zamani, hii ni zamani kweli, ila sasa 
 lazima iwe chanzo cha nguvu, ukuu na utu wetu. 

 Hakuna shaka kwamba uzembe wowote kuelekea mahali   utatudhuru sisi na nyinyi, vijana wa Kiarabu. Rasilimali asili ambazo ilitujalia ikiwa tutazitumia kwa kawaida; Hadhi ya Waarabu wote ingeinuliwa, kwani eneo hili lina takriban asilimia 60 ya mafuta,kama mafuta hayo yangeacha kutiririka kwa jeshi la Wazungu, yangezuia kazi yake na kuwa jeshi lisilo na harakati.  

 Tukiangalia mambo hayo kama hali halisi, tutafikia nguvu, kiburi na utu, na huu ndio ujumbe wenu - Enyi vijana - ikiwa mtashindwa, basi wageni lazima watumie fursa ya kutumia  udhaifu huo. 

Enyi Vijana:

Tulipitia hali kama hizo hizo, na kila wakati tulihisi hisia za maelewano, na tulipigana mapambano ya milele ambayo yalikuwa na sauti kubwa nchini .Mapambano hayo yaliposhinda huko Syria na Lebanon na kuwa huru, Misri ilipata uhuru baada yao. Mapambano yetu hayawezi kutenganishwa na mapambano yenu, na usumbufu wowote katika nchi yenu ni fujo katika nchi yetu. Na ninyi -  Enyi Vijana wa Kiarabu - mliopigana ni baba zenu na babu zenu kwa ajili ya uhuru wenu, ni lazima uhifadhi uhuru wa thamani ambao baba na babu walilipa damu yao, na kuzingatia kwamba Misri itakuwa katika safu ya kwanza, kwa hiyo waliitegemea na kuiamini. Tunatumai kuwa ziara hii ndogo itakuwa mwanzo wa msururu wa ziara za vijana wa Kiarabu kubadilishana mwamko wa kiakili ambao tunautamani kila wakati. 
Tunafanya kazi kwa lengo moja, ambalo ni maendeleo ya Waarabu, na tunatumai tuwe wa kwanza kulifanyia.

Al Salaam Alaykum Warahmat Allah Wa Barakatu.

Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser kwa Ujumbe wa Vijana wa Syria na Lebanon.

Kwa tarehe ya Februari 26,1955.