Profesa ElSayed Flefil "Rais wa tume ya mambo ya kiafrika katika Bunge, na Mkuu mkale wa kitivo cha masomo ya kiafrika ya juu" alisisitiza kwamba ustarabu mkale wa kimisri ulikuwa ukipatikana kwa wananchi wote wa nchi za kiafrika, linaloakisi mizizi ya ustarabu wa kiafrika, akiashiria kuwa Misri ni mji mkuu wa utamaduni wa kiafrika na inaunganishwa pamoja na Afrika kupitia msimamo wa pamoja, mahusiano, na historia ndefu, akiongeza kwamba mji wa Aswan unajumuisha nusu ya mambo ya kale ya dunia, na hayo yalikuja mnamo kikao kinachohusu Gamal Abd Elnasser na Afrika kupitia matukio ya siku ya kwanza toka Udhamini uliotolewa kwa Wizara (Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu "na kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika, mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019 katika kituo Elimu ya kiraia kwenye Aljazira.
Na Dokta Flefil alisimulia kisa kimoja cha Uhodari wa Rais Gamal Abd Elnasser na usaidizi wake kwa nchi ndugu za kiafrika wakati wa shida yao, akiashiria kwa sababu ya kufuatia njia hizo toka Abd Elnasser ni kwa ajili ya kuzuia mwingilio wa Uzungu na utawala wao juu ya nchi za kiafrika, akiomba kwa ulazima wa kusoma historia inayohusu juhudi za Afrika dhidi ya Uvamizi mnamo zama zote ili kutambua Afrika.
Na Dokta Flefil alisifu Bunge ya kiafrika inayozingatiwa kilele cha kweli cha kiafrika kulingana na uamuzi wake wa kuzuia kuhamisha maada za madini, jambo linalofanya Afrika ni bara la kiwanda na kikilimo linahakikisha maendeleo na ustawi, akisisitiza umuhimu wa kuzingatia tafiti za kiafrika zenye kina katika nyanja za Viwanda, Biashara, na Kilimo ili kujenga bara la kiafrika na kuliboresha katika nyanja zote.
Akifafanua kwamba Kiongozi aliyekufa Gamal Abd Elnasser anaakisi picha ya mkusanyiko wa kiafrika na Afrika liliahidi Rais aliyekufa Gamal Abd Elnasser kwa kuunga mkono haki za wananchi wa Palastina, akiashiria kwa mchango mkuu wake katika harakati za Ukombozi na Ustawi wa kiafrika, akionyesha mchango wa siasa yake ili kufikia ndani ya Afrika.
Pia aliwaomba vijana waafrika kuongeza juhudi zao za kujenga bara la kiafrika kukiwazingatia wenye maamuzi na makada wa Siku za usoni.
Na toka upande wa Bibi Dina Fouad "Rais wa idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia " akifafanua kwamba Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika "unalenga kuhamisha jaribio kale la kimisri la kujenga taasisi za kitaifa, na kuunda kizazi kipya cha makada vijana waafrika wa kimageuzi, wenye mitazamo inayosawazisha na mielekeo ya urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, yenye Imani ya kuhudumia malengo ya Umoja wa kiafrika kupitia ukamilifu ;pamoja na kuunda mkusanyiko wa makada vijana waafrika wenye athari kubwa barani kwa mafunzo, Uhodari unaolazimishwa, na mitazamo ya kimikakati.
Akithibitisha Shime na uangalifu wa Wizara ya vijana na michezo kwa Uongozi wa Dokta Ashraf Sobhy kwa kuimarisha mchango wa vijana waafrika kupitia kutoa njia zote za kusaidia na kuwezesha vijana, pamoja na kuwawezesha katika vyeo vya uongozi na kunufaika toka uwezo na mawazo yao.