Hotuba ya rais Gamal Abd El Nasser mjini Liningrad huko Umoja wa Sovite 1958

Mheshimiwa Rais.. Enyi Marafiki:
Natoa salamu zangu kwenu kwa niaba ya wananchi wa Jamhuri wa Muungano wa Misri, wenye heshima na upendo kwa mji wenu. Nasi twajua kwamba mji wa Leningrad ni mji wa nguvu ambayo umepambana udhulumu, udikteta na Ulanguzi, pia twajua kwamba mji wenu daima umekuwa chanzo cha mapinduzi, nasi katika nchi yetu tumeteseka na Ulanguzi huo na udhibiti wa nje, na tumezikabiliana, vilevile twajua kwamba mji wenu ni mji nguvu ambayo umekinzana uadui na kushinda maadui, nasi leo tunawatembelea wakati wa kusherehekea Ushindi huo;kuwapongeza.Basi uadui haukuhakikisha chochote na nguvu ya wananchi na mshikamano wao pia kusaidiana lazima zishinde uadui.
Nasi twaamini Amani na kuzuia kuanzisha vita na kuishi katika Amani, natamani ziara yangu nchini mwetu iwe nguzo muhimu inayohimiza urafiki kati ya nchi zetu ili kuhakikisha kuishi kwa Amani na Usalama.
Asanteni sana...