Siku ya Uhuru wa Mauritania
Imetafsiriwa na/ Naira Abdelaziz
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled
Mauritania inaadhimisha siku ya uhuru wake Novemba 28 kila mwaka. Jamhuri ya Kiislamu ya Mauritania ilijitenga rasmi na ukoloni wa Kifaransa tarehe 28 Novemba, 1960, na Moktar Ould Daddah akawa Rais wa kwanza wa Jamhuri hiyo.
Siku hii kila mwaka intangazwa kuwa likizo rasmi nchini, ambapo inakaribishwa kwa sherehe na maonesho ya kijeshi makubwa ili kuwa tukio ambalo viongozi wana nia ya huchukua hatua za kuandaa na kuisherehekea kila mwaka katika mji tofauti.
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy