Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kika

Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kika

Imetafsiriwa na/ Dalia Hassan 
Imeharirwa na/ Mervat Sakr 

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 66/170 kwa kuzingatia tarehe kumi na moja ya mwezi Oktoba kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kika tangu Oktoba 2012 kwa lengo la kuongeza Uelewa wa Umuhimu wa kuwalinda watoto wa kike duniani, kuhakikisha wanafurahia haki zao, kujenga maisha bora kwao na kuhakikisha Ushiriki wao, kutetea haki zao leo kutairudisha dunia katika mustakabali wa haki na Ustawi zaidi, kwani nusu ya Ubinadamu ni mshirika sawa katika kutatua matatizo kama vile mabadiliko ya tabianchi, migogoro ya kisiasa, Ukuaji wa Uchumi na kuzuia magonjwa, na hivyo kufikia Uendelevu wa kimataifa.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy