Vijana wa shule za Kiafrika 2063 na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa wahitimu hukutana katika warsha kuhusu Umoja wa Afrika

Vijana wa shule za Kiafrika 2063 na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa wahitimu hukutana katika warsha kuhusu Umoja wa Afrika

Imetafsiriwa na: Esraa Abdelazeem Ahmed
Imehaririwa na:  Mervat Sakr 
Mratibu wa Lugha ya Kiswahili: Mervat Sakr 

Warsha shirikishi iliandaliwa kwa wahitimu wa kundi la kwanza la Shule ya Afrika 2063 na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi, ili kuwatambulisha kwa utaratibu wa kazi ya Umoja wa Afrika na baadhi ya shughuli zake, ili kuwasilisha mpango wao na kile wanachotarajia ushirikiano na Tume ya Umoja wa Afrika, hasa sekta ya vijana.