Onyesho la Filamu ya  Ardhi " Alard" katika Senima ya " Al_Zawia" 

Shughuli za siku ya tano ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa zilihitimishwa kwa ziara ya washiriki wa Udhamini kwa Senima " Al_ Zawia" uliopo katikati mwa nchi, na kutazama Filamu ya Misri " Alard" ya Mtoaji mkubwa wa Senima" Youssef Shaheen" kwa mahudhurio ya Mtoaji mkubwa " Yousry Nasrallah, Mtayarishaji " Gabi Khoury" , Mwandishi wa Skripti"  Sayed Fouad" ambaye ni Mkuu wa Tamsha la Senima ya kiafrika.

Washiriki wa Udhamini huo walibadilishana mazungumzo na Mtoaji mkubwa " Yousry Nasrallah" baada ya kumaliza onyesho la Filamu ya "Alard" na yalikuwa na mazungumzo kadhaa kuhusu filamu, hadithi yake na lengo lake kwa mapongezi ya kila mtu kwa Mtoaji mkubwa " Youssef Shaheen" na kazi zake, na mwishoni walipiga picha za kumbukumbu naye kwa furaha kubwa ya kila mtu na kusifu filamu ya Misri iliyoshinda pongezi na tathmini ya kila mtu.