Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba

Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba
Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba
Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba
Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba
Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba
Ziara ya Panorama ya Vita vya Oktoba

Shughuli za siku ya sita ya " Udhamini Nasser  kwa Uongozi wa Kimataifa " zilihitimishwa kwa ziara ya wajumbe vijana walioshiriki katika  Udhamini wakielekea Panorama ya Vita vya Oktoba, iliyoanzishwa kuadhimisha na kusherehekea Ushindi wa Misri katika Vita vya Oktoba Sita, ambapo walitembelea ndani ya panorama na kujua yaliyomo ndani ya  Panorama ya Oktoba na kumbi zake mbalimbali  ( ukumbi wa uvukaji   na kukabiliana -  ukumbi wa Panoramic ) na walitazama picha za kuchora na picha zinazoonesha vita muhimu ambavyo Misri ilipigana. vilevile,

Washiriki wa Udhamini huo waliingia kumbi za  kuonesha  filamu na wakatazama filamu zinazoonesha maonyesho ya kweli kutoka vita vya 1967 na vita 1973.

Washiriki wa  Udhamini huo  walipiga picha za kumbukumbu kwenye lango la kuingilia na ndani ya Panorama, na washiriki wa Udhamini walimaliza ziara yao ndani ya Panorama kwa kutazama onesho la kijeshi lililokuwa wazi kwenye kuta za Panorama kutoka nje, wakiimba misemo " Idumu Misri .. Idumu Misri " wakati washiriki wapatao furaha tele , kuvutiwa  na kupendezwa  na Vikosi vya Wanajeshi wa Misri na mafanikio yao makubwa."