Mshikamano wa Afro-Asia.. Historia ya pamoja ya mapambano kwenye ratiba ya shughuli za siku ya pili ya Udhamini wa Nasser
Shughuli za siku ya pili ya shughuli za Udhamini wa Nasser wa Uongozi wa Kimataifa zilihitimishwa kwa kikao cha mazungumzo kwa kauli mbiu " Mshikamano wa Afro-Asia " ... Historia ya Mapambano ya Pamoja" ambapo Dkt Helmy Al-Hadidi, Waziri wa Afya wa zamani na Mkuu wa Shirika la Mshikamano wa raia wa Afro-Asia alizungumza kwenye kikao hicho .
Dkt.Helmy Al-Hadidi alizungumzia historia na sababu za chipuko la Shirika ya Mshikamano wa raia wa Afro-Asia na sekta wa kazi yake , akionesha viongozi wake wa zamani na lile lililojumuisha orodha yake kuhusu mpangilio wa kazi ndani yake vyeo vyake. akiashiria kwamba hapo awali iliundwa kuwa msaidizi maarufu wa nchi zisizofungamana kwa upande wowote, lakini jukumu lake lilipanuka kwa wakati na kushuhudia maendeleo makubwa na nyanja za kazi zaidi na mwitikio chanya pamoja na mabadiliko ya kimataifa kwa kuzingatia matukio tuliyoshuhudia hadi tunayapitia sasa hivi ambapo ni awamu ya kubadilisha mbinu,lakini hatimaye misingi ambayo ziliitegemea ilibaki kama ilivyo na haitabadilika.
Al-Hadidi aliashiria kuwa Bara la Afrika lilikumba na dhuluma nyingi hali iliyoipelekea kukabiliana na matatizo mengi miongoni mwake ni umaskini na maradhi kuliko eneo lolote jingine na akiongeza kuwa sasa anahisi kwamba kuna mwamko wa kiafrika na mafanikio makubwa ambapo tunakuta nchi zenye uchumi imara na nchi nyingine ambazo zenye elimu nzuri, na nchi zenye huduma za afya za kuridhika, vilevile , El Hadidy alielezea kuwa kuna nafasi kubwa kwa Umoja wa Afrika na kwa Afrika kujiboresha na kufidia yote yaliyopotezwa , na kwamba Misri imetoa mengi kwa Shirika la Mshikamano wa Watu wa Afro-Asia kwa miaka mingi ambapo Marais wa zamani wa Misri na rais wake wa sasa wanaliunga mkono Shirika hilo , wanalihimiza na kulitaka itimize jukumu lake, ambapo mahusiano kati ya serikali ya Misri na Shirika yakikuwa yenye nguvu , kazi ya Shirikatakuwa yenye maendeleo , Kiwango bora na shughuli zaidi.
Mkuu wa Shirika la Mshikamano wa Watu wa Afro-Asia mwishoni mwa hotuba yake , alipeleka ujumbe kwa vijana wanaoshiriki katika Udhamini na kuwaambia, " Enye Vijana wa mabara matatu, elimu iwe njia yenu kwani elimu na fedha hujenga mali za watu ambapo hakuna Udhibiti unajengwa kwa ujinga.. raia na nchi hazitaendelea isipokuwa kwa elimu ambapo kupitia Ushirikiano na kuhamishia maarifa kutoka nchi moja hadi nyingine, kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine , na kutoka kundi moja hadi jingine tunafikia Maendeleo .. . Utoaji kwa aina na sura zake mbalimbali ikiwa kimaada au kimaadili ni muhimu lakini utoaji wa upendo ulio baina ya roho , baina ya watu na baina ya jamii ni mojawapo ya silaha zenye nguvu zinazounganisha na zisizotenganisha .. Ikiwa nimejaliwa kukutana nanyi tena , Natamani kwamba Umoja wa Afrika, Asia na Amerika Kusini umeanzishwa na kwamba maonyesho ya upendo yaonekane kwa wote, na Shirika litakuwa na kamati katika kila nchi ili kueneza Mshikamano, Upendo na Uvumilivu ” , vilevile , mwishoni kikao kimeshuhudia Dkt " Helmy El- Hadi " aliheshimiwa na Udhamini wa Nasser wa Uongozi wa Kimataifa na hivyo kwa kuthamini juhudi na mafanikio yake wakati wa kazi yake ndefu na uungaji mkono wake ili watu wa Kusini mwa watu washikamane