Kila mtu amezaliwa katika Ulimwengu huu kwa lengo kuu

Kila mtu amezaliwa katika Ulimwengu huu kwa lengo kuu

Imefasiriwa na / Nourhan Khaled Eid

Ndugu zangu :

Nawasalimu, na nawatakia kuwasilisha salamu zangu kwa mtu yeyote ya shule ya "Ras Alten", mjue kuwa kila mtu miongoni mwenu hapa lazima afanye kazi daima kufikisha kazi yenye manufaa kwa Taifa hilo kubwa.

Kila mtu katika Ulimwengu huu ameumbwa kwa lengo kuu, hakuna mtu ameumbwa bure, labda inawezekana anadhani itikadi hii, kutokana na baadhi ya hali mbaya zinazotokea naye, zisizomsaidi kusonga mbele kabsia, labda hizo kwani hajakuta ubora unamsifisha kati ya wanaojua, ubora ni uzani wa  maadili kati ya watu bali uzani wa mtu yeyote ni akili yake , njia yake ya kufikiria , na hata hisia zake kwa thamani ya jamii anamoishi,  na pia mtu yeyote anaweza kuacha mbinu hizo, yaani mbinu zinazotengenezwa, vyovyote hali yake inayajenga taifa lake, ikiwa anaweza kufanya hicho, kwani hiyo imechukuliwa kama njia ya peke ili kuhudumia nchi na hata kujihudumia mwenyewe, na kwa hiyo matarajio na malengo ya nchi yake yatatimizwa. 

Ndugu zangu, nawatakia kushikia njia hii, nawatoa Shukrani kwa zawadi hii, na Salamu zangu kwa wote kutoka shule ya "Ras Alten" walimu na wanafunzi.

Kauli ya Rais Gamal Abdel Nasser alipopokea ujumbe wa Shule ya Ras Alten ya Sekondari.
Mnamo Machi 14,1954.