Siku ya Kimataifa ya Kueneza Unufaa wa Habari

Siku ya Kimataifa ya Kueneza Unufaa wa Habari

Imetafsiriwa na/ Mariam Islam
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled  

Baraza Kuu la Umoja wa Kimataifa imetangaza kwenye kikao chake cha 74  kilichofanyika mwezi wa Oktoba, 2019, upitishwa kuwa siku ya 28, mwezi wa Septemba, imekuwa siku ya kimataifa ya kueneza unufaa wa habari kwenye Umoja wa Kimataifa. 


Na mkutano mkuu wa UNESCO mnamo mwaka wa 2015, ulikuwa ukitangaza  kwenye uthibitishaji wa mamuzi wa 83/57, kuwa siku ya 28, mwezi wa Septemba kutoka kila mwaka imeadhimisha kama siku ya kimataifa ya kueneza unufaa wa habari, na ina nafasi kubwa haswa unganishaji wake wa ajenda ya maendeleo endelevu kwa mwaka 2030.


 UNESCO inatarajiwa kuwa siku ya 28, mwezi wa Sebtemba inapelekea kuingiza nchi zaidi ili kuthibitisha sheria ya kuhakikisha uhuru wa kutoa maoni, na hii inapelekea kuimarisha uendeleo wa panga la maendeleo endelevu kwa mwaka 2030 na kurahisisha njia za kuunda jumuiya za maarifa ulimwenguni. 


Mikataba ya kimataifa ilitambua kwa haki ya kupata habari kama haki ya kimsingi kwa binadamu kwa mujibu wa sehemu 19 ya tangazo la kimataifa la haki ya binadamu mwaka 1949, na sehemu 9 kutoka mkataba wa Afrika wa haki ya binadamu mwaka 2004, na Misri imejiunga na imetia saini kwa taarifa hizo mbili na inatekeleza kilichoainishwa ndani zao.
Upatikanaji wa haki ya kupata habari inachangia kupambana na ufisadi, ambapo haki ya kupata habari inaunganisha na mifumo ya udhibiti kwa makini na viwango vya juu vya uwazi kwa hiyo inapelekea kupambana na ufisadi.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy