Siku ya Kimataifa ya Kupinga Machafuko

Imetafsiriwa na/ Alaa Zaki
Imeharirwa na/ Mervat Sakr
Hatutakuwa na nguvu za kutosha kutokomeza kabisa vurugu katika mawazo, maneno na matendo yetu. Lakini lazima tuweke kutofanya vurugu kama lengo letu na tuelekee kwa uthabiti,” Gandhi alisema.
Leo, tunaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wa mkakati na falsafa ya kutokuwa na vurugu Ulimwenguni, Mahatma Gandhi, chini ya azimio la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa 61/271 la 15 Juni 2007, lililoelezea kuwa inachukuliwa kuwa siku ya kimataifa ya kueneza Ujumbe wa kutokuwa na vurugu, ikisisitiza Umuhimu wa Kimataifa wa Kanuni ya Kutokuwa na vurugu na hamu ya haraka ya kupata na kuimarisha maadili ya Utamaduni wa amani, Uvumilivu, mazungumzo na kutofanya vurugu.
Kuamini katika msemo wake maarufu, "Vurugu ni nguvu kubwa zaidi ambayo Ubinadamu una, yenye nguvu zaidi kuliko silaha zenye nguvu zaidi za Uharibifu wa wingi uliovumbuliwa na mwanadamu, vurugu ni silaha ya wenye nguvu."
Siku ya Uasivu ilichaguliwa tarehe hii, kuwa tarehe sawa na kuzaliwa kwa ikoni ya amani, "Mahatma Gandhi", Kiongozi wa Harakati ya Uhuru wa India na Mwanzilishi wa Falsafa na Mkakati wa kutofanya vurugu. Anatumia Gandhi kama mfano na nguzo ya kueneza maadili na Uvumilivu kati ya watu binafsi na jamii, na malengo yake ya juu na muhimu zaidi ni katika kukuza Utamaduni wa kuishi pamoja, mshikamano, amani na kukataa vurugu na msimamo mkali katika aina zake zote.
Kwa kumalizia, na kwa heshima ya roho yake nzuri, tunatuma amani kutoka Misri, tukinukuu maneno ya "Shawky" wakati anasema:
Simama msalimie karibu naye ... Kuhusu unajimu na kutoka mbali
Na funika nchi kwa Utumishi ... Na funika bahari kwa waridi
Kuhusu Ifrieze ya Rajputa ... Sanamu ya Utukufu
Mtume kama Konfyushasi ... Au kutoka enzi hiyo
Amani kwa Nili enyi Ghandi ... Na maua hayo ni kutoka kwangu
Heshima kutoka kwa Piramidi ... Karnak na mafunjo
Kutoka mkuu wa Bonde ... Kutoka watoto wake wenye utii
Amani ya mchungaji wa kondoo ... Amani ya msokota wa baridi
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy