Siku ya Haki Miliki Duniani

Siku ya Haki Miliki Duniani

Imefasiriwa na/ Ahmad Yousre 
Imehaririwa na/ Fatma El-Sayed


Mnamo Tarehe Aprili 26 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Haki Miliki Duniani katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni ishara ya kuwaenzi kwa kuhifadhi ubunifu wao kwa kuwapa wamiliki wao, walioacha nyuma fani ya ubunifu, sanaa, kisayansi au nyingine ya ubunifu wa kiakili, inayolingana na siku ya kuanzishwa kwa Shirika la Haki Miliki Duniani (WIPO) mnamo mwaka 1970.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy