Diplomasia ya Vijana kufikia Amani .... Harakati ya Nasser kama mfano

Siku ya kimataifa ya Pande nyingi na Diplomasia kwa ajili ya Amani
Sijui zama maalum ambapo watu wote wamekubali lengo moja kama wanavyokubali wakati wa zama hiyo, kwa ushirikiano wake; kufanya juu chini; kufikia mfumo thabiti wa kimataifa..
Hebu tubadilike ndoto iwe kweli?
-Rais Gamal Abd ElNasser katika Kongamano la Bandung, Aprili 1955.
Mnamo Desemba,2018 Jumuiya kuu imepitisha azimio la tangazo la"Siku ya kimataifa kwa Pande nyingi na Diplomasia kwa ajili ya Amani,(L./73/A/48) kwa wengi wa sauti 144 zilizorekodiwa, pia jumuiya hiyo ilitoa wito nchi zote wanachama waangalifu na Taasisi za Umoja wa Mataifa ;kusherehekea Siku hiyo mnamo Aprili 24 kila mwaka Ili kufahamu faida za pande nyingi na Diplomasia kwa ajili ya Amani hiyo.
Pamoja na kuzingatia umuhimu wa kuhifadhi maadili ya pande nyingi na Ushirikiano wa kimataifa , ambazo ni nguzo ya Hati ya Umoja wa Mataifa na mpango wa maendeleo endelevu 2030, ukiyategemea kama msingi wa kukuza na kuimarisha nguzo tatu za Umoja wa Mataifa -nazo ni Maendeleo,Haki za Binadamu,Amani na Usalama, kuzizingatia msingi muhimu kwa ajili ya kulazima viwango vya kimataifa mifumo na misingi iliyoongoza mahusiano yote ya nchi mnamo miongo saba ilipita ya kupambana utengano na changamoto zinazoongezeka zinazotokea kwake . Aidha masuala ya kimataifa kama mabadiliko ya hali ya hewa, mivutano ya kijiografia na kisasa na migogoro ya utu kwa masuala yake tofauti yanajaribu kuweka mikataba ya ufahamu inaheshimu maadili na maslahi za nchi, pia yanaomba umakini na kazi pamoja kupitia suala la pande nyingi na Diplomasia hiyo .
Harakati ya Nasser kwa Vijana yazingatiwa kama mfano bora wa kimataifa wa diplomasia ya vijana na kuunda Ushirika wa kimataifa _kikanda, sawa na tassisi za kitaifa na mashirika ya kijadi ya jamii ; kuimarisha Ushirikiano Kwa ajili ya Nchi za Kusini _Kusini, basi hadi sasa, ndani ya zaidi ya Nchi 42 kwenye mabara matatu (Afrika,Asia na Marekani Kusini) kuna waratibu na wanachama wa Harakati hiyo wanakuza jamii zao, kuzindua mipango ya jamii na miradi ya kimaendeleo;kuboresha maeneo yao na nchi zao kwa mfumo wa ndani.
Pamoja na juhudi hizo, Vijana wa Harakati hiyo wanazindua mipango kadhaa ya kimataifa ya Vijana , kwa mfano tu Vijana wa Harakati ya Nasser nchini Tanzania walizindua Mfumo wa Uigaji wa Umoja wa Mataifa ukiwa na Ufadhili wa Waziri Mkuu wa Tanzania, ambapo ulikuwa na ushiriki wa vijana na wasichana 150 kutoka nchi 16 za Afrika ndani, pamoja na Upekee wa Vijana wa Harakati hiyo huko Barani Asia zikiwemo na shughuli maarufu zaidi ni nchi za Azerbaijan, Iraq na Palestina, vile vile Vijana wa Harakati ya Nasser huko Palestina wameweza kufanya Protokoli ya Ushirikiano na Ushirika pamoja na Jumuiya ya "Alhilal Alahmir" , wakati wa Ushirika huo wamezindua vikao vya maelekezo vya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa;kuandaa kwa toleo la tatu , kwa hivyo Harakati hiyo inazingatiwa moja wapo ya njia za kuimarisha Amani na Usalama Duniani kupitia ukuzaji wa Vijana , na mfumo muhimu miongoni mwa mifumo ya Diplomasia safi.