kwa maandalizi ya Tamasha la "Thamasearth", Younes Owen mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa huko Misri aunda shughuli hiyo kwenye mji wake wa Imouzzer Kinder - Morocco
Kupita miezi michache tu kwa ushiriki mkubwa wa kijana hodari Younes Owen, akiwakilisha Ufalme wa Morocco katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa huko Misri mpaka alipotuonyesha maandalizi kwa Tamasha la Thamazirth likiwa na kauli mbiu "Utamaduni huimarisha maendeleo " katika mji wa, Imouzzer Kinder, katika Ufalme wa Morocco, akiangazia ujuzi na uzoefu alionufaika kutokana na Mpango wa Udhamini wa Nasser wa Kimataifa, ambao kupitia kwake alikuwa na shughuli mashuhuri zaidi ya kiutamaduni na kisanaa kupitia mikutano, semina na warsha pamoja na kutembelea vivutio muhimu zaidi ya kiutamaduni ya kitaifa nchini Misri, hiyo bila ya kupuuza uwezo wake wa kitaaluma katika sekta ya kiutamaduni katika Taasisi ya Juu ya Sanaa ya Kuigiza na Uboreshaji wa Utamaduni, Taaluma ya uhandisi wa kiutamaduni . vilevile uandalizi wake kwa tukio kubwa la kiutamaduni hili kama mwanzilishi na mkurugenzi lilipokelewa kwa upendo na kutia hamasa isiyo na kifani kutoka kwa wahitimu na waanzilishi wote wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa , wakizingatia mpango huo ni kama matunda ya mafanikio ya wahitimu wa Udhamini katika nchi zao bali wachangiaji pia katika maendeleo yake. tamasha hilo limejulikana kwa mahudhurio ya mhitimu wa mwaka jana wa Udhamini " Hamza Ohadi" ili kutoa msaada usio na masharti kwa msomi mwenzake katika Udhamini huo.
Tamasha hilo linakuja kama sura ya nyenzo za kikatiba katika uwanja wa kiutamaduni zenye lengo la kuunga mkono na kuendeleza ubunifu wa kiutamaduni na kisanaa na kuchukua hatua zinazofaa ili kupanua na kujumlisha ushiriki wa vijana katika maendeleo ya kiutamaduni, na kufanya kazi ili kuendeleza shughuli ya kiutamaduni katika mji wa Imuzzar kandar na Atlantic ya katikati, pia taasisi ya sauti ya vijana iliandaa kwa msaada na ushirikiano na Taasisi ya Kifalme ya Amazigh ya kiutamaduni ", Tamasha la Thamazirth" katika kikao chake cha tatu pamoja na kauli mbiu "Utamaduni wa Amazighs huimarisha Maendeleo" kuanzia tarehe 20 mwezi wa Agosti hadi 24, 2022 katika mji wa Imouzzer Kandar.
Kikao hicho klifafanuliwa na programu nzuri mbalimbali , ambapo swali la kiutamaduni linapatana na mfano wake la maendeleo ndani ya mfumo wa kuwezesha utamaduni katika maendeleo ya kina na kusisitiza sekta ya kiutamaduni kama rasilimali msingi ya kiuchumi, yenye sifa ya endelevu inayowezesha Jumuiya za mitaa kwa maendeleo ya kiuchumi, kwa hivyo inazingatia kwamba kauli mbiu ya kongamano hilo "utamaduni wa Amazighs huimarisha maendeleo " ni jina kuu la utambulisho wa tamasha na sifa kuu ya haiba yake.
Tamasha hilo lilijumuisha kuandaa Tuzo la Kitaifa la Utamaduni wa Amazighs katika kategoria ya ukumbi wa michezo ( Atlasi ya Kati), vilevile, kuangazia vivutio vya kiutamaduni, kihistoria na kitalii vya mji wa Imouzzer Kandar, na kuangazia utajiri wa urithi unaoonekana na usioonekana. ambalo eneo linajipambanua ndani ya mfumo wa mkakati wa kiutamaduni na kisanaa unaolenga kuunganisha urithi wa Utamaduni kwa sura na maonesho yake yote.
programu zilijikita na maonesho ya maigizo na kisanaa, kutembelea vivutio muhimu vya kiutalii katika eneo,kuonesha filamu fupi na kuandaa warsha, semina na mikutano.vilevile , kikao hiki litajumuisha kuwazawadia wahusika maarufu zaidi , shughuli za kisanaa , kiutamaduni cha ndani , kitaifa na kimataifa .
Ndani ya mfumo wa makubaliano ya ushirikiano yaliyofanywa kati ya Taasisi ya Juu ya Sanaa ya Tamthilia na uboreshaji wa kiutamaduni na taasisi ya Sauti ya Vijana, kikao hicho kilijuliakana kwa kuwepo sawa kwa wanafunzi wa Taasisi ya Juu ya Sanaa ya Tamthilia na Uboreshaji wa Utamaduni katika awamu zote za kuandaa tukio hilo la kiutamaduni katika kiwango cha usimamizi , maandalizi na kisanaa.