Maisha Bora

Januari 2,2019, Rais Abd El-Fatah El Sisi ametoa mpango ili kuboresha kiwango cha maisha kwa makundi ya jamii yenye mahitaji zaidi katika nchini, na pia mpango huo unasaidia na uboreshaji kwa kiwango cha huduma za kila siku zinazotolewa kwa wananchi wanaohitaji zaidi haswa vijijini.
Mpango huo unashughulikia:
1-kupunguza uzito kutoka kwa Wananchi katika mikusanyiko yenye mahitaji zaidi mashambani na maeneo bila kuelekezwa mijini.
2- Maendeleo ya kina ya watu wa Shambani wenye hitaji zaidi kwa lengo la kuondoa umaskini wa pande nyingi ili kutoa Maisha Bora endelevu kwa wananchi kwenye Jamhuri.
3- uboreshaji kwa kiwango cha kijamii, kiuchumi na kimazingira kwa familia zinazolengwa.
4- kutoa nafasi za Ajira ili kuimarisha uhuru wa wananchi na kuwahamasisha kukuza kiwango cha maisha kwa familia na mkusanyiko wao wa ndani.
5- kuifanya jamii ya ndani kusikia tofauti chanya katika kiwango cha maisha yao.
6- kuandaa ratiba ya jamii ya kiraia na kupatikana Imani katika taasisi zote za nchi.
7- uwekezaji katika maendeleo ya binadamu mmisri.
8- kufunika mapengo ya kimaendeleo kati ya vituo, vijiji na vitegemezi vyake.
9- Kufufua maadili ya uwajibikaji wa pamoja kati ya pande zote husika ili kuungana maendeleo mapya katika vituo, vijiji na vitegemezi vyake.