Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafaa El-Nil

Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafaa El-Nil

Imetafsiriwa na/ Amira Mohamed
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled 

Tukio  hilo linaloitwa kama <> kwa kurejelea na kukumbuka faida zote zinazoletwa na  mafuriko ya Nile  kwa wamisri wa kale,,( yaani matope na maji),, hata Mmisri wa kale alikumbuka tukio hilo na alilachonga kwenye  ukuta fulani wa mahekalu, alipoelezea: "kila mtu anapoona Nile wakati wa mafuriko yake, mwili wake unatikisika, ilihali mashamba yanacheka, kijani kibichi kinafunika fukwe, na zawadi za miungu hawa zinaanguka na furaha inaonekana kwenye nyuso za watu, ama mioyo ya miungu inapiga kwa furaha"

Sasa hivi, Mwanahistoria mmisri hodari, Gamal Hemdan aliandika kuhusu Nile katika kitabu <> akiueleza na kusema: <>.

Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy