Hotuba ya Kamanda wa Kikosi, Gamal Abd El-Nasser, kwenye Ufunguzi wa Kongamano la Viongozi wa Majeshi ya Nchi za Kiarabu Huko Mjini Kairo

Hotuba ya Kamanda wa Kikosi, Gamal Abd El-Nasser, kwenye Ufunguzi wa Kongamano la Viongozi wa Majeshi ya Nchi za Kiarabu Huko Mjini Kairo

Imetafsiriwa na/ Rahma Ragab
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled

Ninawapongeza kwa niaba ya wananchi wamisri wanaopenda Amani, wanaotakia ulimwengu wenye Usalama na unafungamana na Ushirikiano, kwenye wakati mwenyewe wanaangalia kina ya mambo haya na wanajua kwamba upendo wa Amani na Usalama hautoshi ili kuondoa mabaya ya uchokozi kwake na kwa wengine.

Ninajikitia kwamba si wananchi wa Misri tu wanao hisia hizo bali wananchi ndugu wa kiarabu pia, na kwamba mkataba wa Usalama wa kijamii kati ya nchi za Jumuiya ya Kiarabu ni tukio nzuri la hisia hizo.

Uzoefu mzuri wa pamoja huko nchini palestina umeshachangania kufikia tukio hilo, na tunadhani kwamba ushukuru wa kweli kwa damu zilizomwagwa nchini palestina ni kwamba wananchi wa kiarabu walioteswa kwa uzoefu huo, walitambua maana yake ya kina na lengo lake kuu.

Ukweli ikiwa tumeangalia inayotuzunguka, tutaona mwanzo wa utambuzi huo, ambapo wananchi wa kiarabu wamekuwa na mawazo ya kijeshi, wamejifunza kutoa pesa ili kuandaa majeshi yao, wameelewa kwamba ikiwa vita wanapaswa kushirikiana na kupanga ili kufikia lengo moja, na kinachisisitiza ufahamu huo kwamba Enyi wawakilishi wa majeshi ya kiarabu wanakutana leo ili kuanza jukumu lenu lenye hatari.

Mnapaswa kubadili mawazo ya mkataba kwa kweli inayotekelezwa.. inatakiwa herufi yenu inatoa wanajeshi hodari, maneno yenu yanatoa vikosi vilivyoandaa na kutoa majeshi kutoa vishazi, mnapaswa kuelekea mustakabali kwa mipango yenye uratibu ambapo matokeo hayaathiri. 

Hiyo ni ujumbe wenye tukufu uliowekwa mabega yenu , na inayozidi tukufu lake ni kwamba ujumbe wa Amani, hauelekei kwa uchokozi, wala uchoyo, wala haulengi kushiriki  Kusanya nyara 

Mwenyezi Mungu awabariki ndugu yenu kwenye majeshi, na awawezesha kukuza Usalama unaotarajiwa na waarabu ili kuwalinda.

Wassalmu Alaikum warahmat Allah.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy